Pale acheze HereraHiki nimekielewa,ila Matic naye anastahili kupumzika.
Pale acheze HereraHiki nimekielewa,ila Matic naye anastahili kupumzika.
Lukaku na leo kaachwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]That's cool...View attachment 920088
Matic kachoka sana..Hiki nimekielewa,ila Matic naye anastahili kupumzika.
Hata sub hayupoLukaku na leo kaachwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lukaku na leo kaachwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo nimeangalia wacha aendelee kutrain hard kujifunza kwanza 1st touch yake iwe nzur.Hakusafiri kabisa na timu mkuu😀😀
Ashukuriwe mungu wa mbinguniHakusafiri kabisa na timu mkuu😀😀
Kwa kikosi kilivyo mfumo ni 4:3:3Hv nani anacheza 10 na 9?? Au ndo tunakuwa na false No. 9 Alexis?
Nafkiri martial atasimama yey pia inawzkna kutakua na mabadiliko kutokana na formation kma ikibdlka.Hv nani anacheza 10 na 9?? Au ndo tunakuwa na false No. 9 Alexis?
Hao tulikua tunao kma misimu m4 nyuma.Tunatakiwa kuwa kuwa na Manzukichi, Cavan, Suares wa kwetu
Mtakam backTushakapigwa tayari, Dah!!!