Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa juve tukajilipue tu hamna sababu ya kuogopa OT tulicheza hovyo sana
 
Pogba anakuofa vitu viwili kwa wakati mmoja furaha na karaha hapo hapo

game ilikuwa nzuri tofauti na matarajio yangu.....Mata anafanya mambo magumu kuwa mepesi.

three important points kibindoni

GGMU
Pogba bwana huyo jamaa hata sijui hua anafkiria nin anapokua uwanjani akifanya nzur bas hamalizi game kuharibu.
Goli la jana yeye ndo chanzo.
 
√Lukaku aendelee kusugua yeye sio mungu mtu pale OT..Rashford,Mata,Martial pale mbele kunakuwa na transition nzuri hasa tukiwa tunashambulia..Rashford inabidi aboreshe kidogo utulivu.

√Martial was excellent today..amehusika kwenye goli zote mbili..amekosa goli dakika za mwisho lakini nimeona amejutia,kitu ambacho inabidi wachezaji wetu wawe nacho..

√Lindelof gemu hizi mbili kama amepeak up hivi kiwango chake..kawa kitasa kweli kweli..naamini tu jamaa ni beki mzuri wa mpira huu wa kileo ila pale nyuma anakosekana kiongozi kama alivyokuwa Rio Ferdinand

√Pogba huwa hajisikii vizuri asipotoa blunder kidogo kwenye gemu??..But huyu ni engine ya timu,,don't get me wrong

√Fred..somehow leo ametulia..hopefully ataendelea kupata nafasi

√Matic kuna muda anacheza kama mlevi vile..sijui amepatwa na nini??..Maybe ni uchovu tu.
Pogba tushamzoea yeye kuharibu hua hachelewi.
Lindelof hio number yake kwa game mbili hizi anaitendea haki sana.
 
Ok nipe list ya timu ambazo wewe unafikiri man united anaziogopa

Inawezekana tunatofautiana kwenye neno kuogopa, labda unazungumzia point ya kwamba haogopi tena kufungwa kwa sababu ni kawaida kwake kufungwa.

Back then Man Utd akifungwa ilikuwa ni taharuki na washabiki tunajiuliza kafungwaje?

Siku hizi akishinda ndo tunajiuliza kashindaje!

Nirudi kwenye swali lako: Tottenham na Juventus.
 
Lindelof anahitaji confidwnce tu ndio kitu alichokosa. Naona toka mechi ya juve kiwango kimeongezeka. Na umakini umeongezeka. Anahitaji beki kiongozi ambae atakae cheza nae pale kati.
wazee wa kazi lindelof kawa bonge ya deffender,mechi ya jana na ya juve jamaa kajiamini mpk nashangaa imekuaje gafla hivyo.
ila wakitengeneza partnership na bailly 5 na 2 itakuwa vzr sana.
hongera lindelof kwa perfomance nzuri
 
Back
Top Bottom