Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
Inategemea na mfumo, kwenye 4-3-3 anakuwa wing forward aka mshambuliaji wa pembeni kwenye 4-2-3-1 ni attacking midfield left aka kiungo mshambuliaji wa kushoto.Unautani wewe..martial ni nani sasa??
Anaweza pia kucheza striker ila sio natural position yake.