Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG-20181030-WA0005.jpeg
 

Tusiopenda aina ya soka la José tujitahidi kumpenda tu,sioni dalili za yeye kuondoka.

Nimeona tetesi atapewa mkwanja January kwaajili ya CB na ST.
Mkuu hapa kinachotafutwa ni project nzur ya timu msingi wa timu tukifukuza kocha na hali tuliyonayo hatuwez kupiga hatua mwache ajaze wachezaj fukuza kisha anakuja kocha anaeweza kuwatumia

Nnachopenda bodi haipo tayar kuuza players wazur hata akija kocha mzur atawatumia vizur sana tupate central defender wa maana na viungo wakabaj kama wawili bek mbili na tatu wapo shaw,dalot,mensah anacheza kule demitr anacheza kushoto

Washambuliaji nina imani sana na rashford na martial hata sanchez kwa soka la kushambulia

Ila tukimfukuza kocha nakwambia hatupig hatua tuvumilie tu
 
Manchester United imefanya mazungumzo ya kumuajiri mkurugenzi wa ufundi wakiwa na lengo kuja kufanya kazi ya kuleta wachezaji wapya, lakini maamuzi hayo hayatafanyika mpaka kocha Jose Mourinho apitishe suala hilo.

Kituo cha ESPN kimeripoti kuwa, Man United wamefanya majadiliano hayo kufuatia na kufanya vibaya katika dirisha la usajili lililopita ambapo ilileta mvutano baina ya Mourinho na makamu mwenyekiti mtendaji Ed Woordward.

Woodward na bodi ya Man United wameweka nia ya kufufua njia ya klabu ya kuleta wachezaji wapya na wanaamini kuwa chaguzi ya kuleta mkurugenzi wa ufundi itasaidia sana.

Mourinho ametimua kiasi cha zaidi ya pauni milioni 360 katika kuleta wachezaji tangu atue Old Trafford mwaka 2016, lakini katika dirisha la usajili lililopita aliachwa mwenye hasira baada kupewa pauni milioni 68 tu kwa ajili ya kusajili.
 
Rooney: “They’re going through a difficult period but Jose Mourinho is very experienced and I think some players have to do a little bit better. Hopefully they can turn their form around, win a few more games and keep the pressure on the top of the table.”
 
Back
Top Bottom