Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Dhamira yangu inaniambia Leo tunashinda hii mechi
Kila la kheri kwenu leo, ingawa nitakuwa naishangilia Juventus.
Dhamira yangu inaniambia Leo tunashinda hii mechi
Kwa kumbukumbu zangu, Chelsea ndio walishangilia sana matokeo ya drawHawa ni kawaida yao wewe unatakiwa uwazoee..
Draw ya juzi na Chelsea walipagawa sana.
Yule aliyesema Chelsea itamfunga United zaidi ya nne, nati ndio zimeachia kabisaMkuu na huku umekuja kwamba Pogba amekua bora kwa Eden... Kuwa shabiki wa man u sometimes inatkiwa nat zilegee kdg
Mwenye matatizo somewhere ni yule anayesema United hawajachukua kombe miaka 5, wakati anajua mwaka 2016 alichukua kombe la Europa na CarlingInategemea umemuuliza nani... Sasa kama unamuuliza mtu anakwambia Man u ni timu kubwa England wakat mwaka wa tano haijuchukua kikombe, alaf inajiita ni timu kubwa.. Sasa mtu akikwambia Man u ni timu kubwa na kuziona timh kama Chelsea ni ndogo lazima atakua ana matatizo somewhere
Aliyelogwa ni yule asiyejua tofauti ya kulogwa na kurogwaSasa timu ina jinasibu vipi ni kubwa wakat imefungwa goli 16 imefunga 15 GD -1 ipo nafasi ya 10... Bado mnasema ni timu kubwa mmerogwa nyie![]()
na cha ajabu hyo timu unahisi inalipambambania wao ni rahisi kulipata kuliko nyie kupata uefaMwenye matatizo somewhere ni yule anayesema United hawajachukua kombe miaka 5, wakati anajua mwaka 2016 alichukua kombe la Europa na Carling
Kuwakumbusha tu wadau, ni kwamba hilo kombe la Europa ndio kuna timu flani siku hizi inalipambania kulipata siku za Alhamisi usiku
Chelsea ndiyo Timu ndogoMwenye matatizo somewhere ni yule anayesema United hawajachukua kombe miaka 5, wakati anajua mwaka 2016 alichukua kombe la Europa na Carling
Kuwakumbusha tu wadau, ni kwamba hilo kombe la Europa ndio kuna timu flani siku hizi inalipambania kulipata siku za Alhamisi usiku
Manchester United arrived late for a second Champions League game in a row despite staying at a hotel just 250 yards away from Old Trafford on Monday night.
The club were fined £13,202 just last week for turning up late for the clash with Valencia earlier this month.
They had scrapped their usual routine of staying at the city centre Lowry Hotel, moving to the Hilton hotel.
Huyu nae kigurunyembe kweli. Sasa hayo makombe anayoyaita "my" aliyachukua mwenyewe.? Hakua na wachezaji wa Chelsea. Hata sina hakika kama hayo maneno kayatamka Mou mwenyewe.Jose Mourinho to the chelsea fans abusing him: "I have won more than your club. I made you and I'm bigger than your Club. Take away my 3 titles and you're nothing" Danny Welbeck on Twitter
Mkuu inaonekana una furaha sana na matokeo ya ile match.Kama mlimvamia mourinho kwa kusawazisha vipi mngeshinda nyie? Mara ooo mkipak bus mtakufa nyingi mara ooo sariball mtakoma sariball my foot watishieni cadif huko


