Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aseeee
IMG-20181022-WA0010.jpeg
 
Mkuu na huku umekuja kwamba Pogba amekua bora kwa Eden... Kuwa shabiki wa man u sometimes inatkiwa nat zilegee kdg
Utakuwa unavuta bangi akili yako haipo sawa wapi nimeandika pogba ni bora kwa hazard? Ndo mana narudia post zako unachuk na mashabik wa manchester united unatengeneza had topic zako sasa
 
Mkuu na huku umekuja kwamba Pogba amekua bora kwa Eden... Kuwa shabiki wa man u sometimes inatkiwa nat zilegee kdg
Hapa nani nati zimelegea kichwani soma nilichoandika na topic yako uliyoanzisha kunijibu vitu viwili tofauti.

Inabidi nikupuuze huna kitunkichwani

IMG_20181023_095133_684.jpeg
 
Kwa Mata nakuunga mkono 100%, ila hao madogo bado consistence yao ina mashaka

Kati ya hao madigo, awe anaanza mmoja mwingine asubiri. Halafu Sanchez ndio akamikishe utatu wa forward line
Martial is way better than rashford hilo kila mtu anajua..tunataka mata acheze kama no 10,then martial on left flank..na right flank washindane rashford pamoja na sanchez
 
Martial ana goli Tatu (3) kwenye mechi mbili za united zilizopita..

Sanchez ana goli 4 tokea aje old trafford..

Hii inamaanisha tunapoteza 450£ bure au nini wakuu?...atapeak form muda ujao?...I don't really know
 
Sanchez akubali kukaaa benchi kwa muda flani
 
Anthony Martial yupo tayari kuongeza mkataba mpya ndani ya klabu ya Manchester United, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ufaransa.

RMC Sport limearifu kwamba mshambuliaji huyo ambaye alifunga mara mbili kwenye mechi dhidi ya Chelsea yupo tayari kujifunga ndani ya Old Trafford kwa zaidi ya mwaka 2019 na amedai kwamba Mahusiano yake mapya na Mourinho yamemfanya kujikita United.
 
Utakuwa unavuta bangi akili yako haipo sawa wapi nimeandika pogba ni bora kwa hazard? Ndo mana narudia post zako unachuk na mashabik wa manchester united unatengeneza had topic zako sasa
Bado ukweli unabaki ,Pogba ni zaidi ya Hazard japo position tofauti
 
Mkuu huyu anamtetea joginyo mzee wa back pas.yan defence na defence midfielder ndo wamepiga pasi nying chelsi meaning wanapasiana wao kwa wao kama kupoteza muda
They just pass to pass, and not pass to attack
 
Back
Top Bottom