lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,197
- 28,079
Kipenzi cha kocha yeye na Ashley Young kibongo bongo tungesema kuna kitu
Mambo anayofanya akiyafanya Martial atakaa bench mpaka anajuta.
Kipenzi cha kocha yeye na Ashley Young kibongo bongo tungesema kuna kitu
Ili jukwaa tumekuwa wazito kuchangia kama foward wetu Lukaku
De Gea kazipunguza leo.
Apo France kuna Kante Ngolo, Matuid, ...Huyo dogo ni mpuuzi anaangalia kufeli kwa mourinho kumtumia anafikir pogba ni wakawaida ajiulize kwa nini france anakamua?
Wewe hujui Barca hadi umtiti anacheza..Jiulize madrid na barcelona kwa nini hawajaleta ofa ya hazard?
Laiti kama ningelikuwa ni mchezaji wa manchester United basi kuna masokwe wawili nisingekuwa nawapa pasi abadan asilani

kafa ngapi mkuuGGMU!! GGMU!! leo juve anakufa jamani..mark my words..!!
Duh game kubwa kama hii kocha anashindwa kufanya ata sub wapenzi wa bwana huyu niambieni sababu