Hajui anapomuongelea pogba kua anaongelea world class midfielder ambayo ina aina ya upekee ya uchezaje wake.Misukule tena ona utoto wako ndo mana mnamzomea hadi kocha wenu bila sababu ya msingi kumbe vichwani hamna kitu ndo shida ya timu kuvamiwa na mamluk
Pogba ukamfananishe na jojina????? Maajabu ya dunia haya.
Huyo dogo ni mpuuzi anaangalia kufeli kwa mourinho kumtumia anafikir pogba ni wakawaida ajiulize kwa nini france anakamua?Hajui anapomuongelea pogba kua anaongelea world class midfielder ambayo ina aina ya upekee ya uchezaje wake.
Mata anacheza attacking Midfield.Hata position hamzijui sasa mata ni holding mieldfield?
Pogba sio wa kawaida hta kidogo lbda anitajie pale EPL kwa sasa wenye quality kma yake.Huyo dogo ni mpuuzi anaangalia kufeli kwa mourinho kumtumia anafikir pogba ni wakawaida ajiulize kwa nini france anakamua?
We huyu unaamini kwenye kichwa yupo sawa mkuu tumpuuze tuPogba sio wa kawaida hta kidogo lbda anitajie pale EPL kwa sasa wenye quality kma yake.
Mashabiki wa man u hapk ndo mnapo nichosha, mnasema ninyi sio level yetu.. Mwaka wa tano sasa hamna Epl wakat hyo timu ambayo sio level yenu inachukua kikombe mbele yenu.... Sasa kama ninyi ni level ya juu si mchukue kikombe 😂😂😂Hoja gani na ww wakat sio level yangu nyie chelsea mnatakiwa mkomae na mashabik wa city na everton hapa sio level yako mnafosi upinzani.
Twambie kwanza goli nne ziliishia wapi?lkn Man u mnashida sana.. Wakat anaingia Man u hapakutosha humu, leo tayar ni garasa
![]()
Ukitaja timu mbili kubwa england utaambiwa ni livepool na manchester united kwa nini?Mashabiki wa man u hapk ndo mnapo nichosha, mnasema ninyi sio level yetu.. Mwaka wa tano sasa hamna Epl wakat hyo timu ambayo sio level yenu inachukua kikombe mbele yenu.... Sasa kama ninyi ni level ya juu si mchukue kikombe![]()
Hayupo mwenye quality kama yake ila wapo wa zaid yake... Hivi sokoni yupk Pogba na Hazard utamchukua nani mkuuPogba sio wa kawaida hta kidogo lbda anitajie pale EPL kwa sasa wenye quality kma yake.
Kwa chelsea ile imfunge mtu 4 kwa sasa siju.We huyu unaamini kwenye kichwa yupo sawa mkuu tumpuuze tuView attachment 907537
Jiulize madrid na barcelona kwa nini hawajaleta ofa ya hazard?Hayupo mwenye quality kama yake ila wapo wa zaid yake... Hivi sokoni yupk Pogba na Hazard utamchukua nani mkuu
Usijali mkuu vut subira zinakuja acha tupambane kwanza na wenzetu wanaotafuta ubingwa..... Ninyi mnaotafuta nafasi ya saba tutarud usijaliTwambie kwanza goli nne ziliishia wapi?
Kwa number gani husika kwasababu hazard anaweza kucheza kma false number 9 ila hafit anacheza number 10 anacheza RW anacheza LW.Hayupo mwenye quality kama yake ila wapo wa zaid yake... Hivi sokoni yupk Pogba na Hazard utamchukua nani mkuu
Mkuu na huku umekuja kwamba Pogba amekua bora kwa Eden... Kuwa shabiki wa man u sometimes inatkiwa nat zilegee kdgJiulize madrid na barcelona kwa nini hawajaleta ofa ya hazard?
Ingekua kama ni Hazard kwenda huko Madrid angeshaenda kitambo... Zidane amemuhitaj kwa kitambo sana... Umiachana na timu kama timu... Zidane mwenyewe personally anakubali HazardJiulize madrid na barcelona kwa nini hawajaleta ofa ya hazard?
Inategemea umemuuliza nani... Sasa kama unamuuliza mtu anakwambia Man u ni timu kubwa England wakat mwaka wa tano haijuchukua kikombe, alaf inajiita ni timu kubwa.. Sasa mtu akikwambia Man u ni timu kubwa na kuziona timh kama Chelsea ni ndogo lazima atakua ana matatizo somewhereUkitaja timu mbili kubwa england utaambiwa ni livepool na manchester united kwa nini?
Inategemea umemuuliza nani... Sasa kama unamuuliza mtu anakwambia Man u ni timu kubwa England wakat mwaka wa tano haijuchukua kikombe, alaf inajiita ni timu kubwa.. Sasa mtu akikwambia Man u ni timu kubwa na kuziona timh kama Chelsea ni ndogo lazima atakua ana matatizo somewhere
Inategemea umemuuliza nani... Sasa kama unamuuliza mtu anakwambia Man u ni timu kubwa England wakat mwaka wa tano haijuchukua kikombe, alaf inajiita ni timu kubwa.. Sasa mtu akikwambia Man u ni timu kubwa na kuziona timh kama Chelsea ni ndogo lazima atakua ana matatizo somewhere