Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu huyu anamtetea joginyo mzee wa back pas.yan defence na defence midfielder ndo wamepiga pasi nying chelsi meaning wanapasiana wao kwa wao kama kupoteza muda
Hahahaha nimecheka sana mkuu basi jamaa anajua bonge la kiungo hata kwa mata hatoshi.
 
Yule Mauro icard sio mtu Mzuri kabisa anadeserve timu kubwa AK I was he zaidi.... Timu zote kubwa zinauhitaji wa jamaa kwanamna moja au nyingine

Icardi ana 29 au 30 kama sikosei. Tofauti na wachezaji walioonyeshaga uwezo mkubwa wakiwa na 21 hivi au 20 example Neymar,Mbappe,Messi,CR7 e.t.c
 
Wakat anasajiliwa hapakutosha humu, mashabiki wa man u muwe na akiba ya maneno mana mkishinda hata game tatu mfululizo basi kila mchezaji wenu anakua world class player
Hawa ni kawaida yao wewe unatakiwa uwazoee..

Draw ya juzi na Chelsea walipagawa sana.
 
Pogba ukimweka sokon huwezi kumuuza bei sawa na huyo mchezaji wako nimekwambia unakumbuka bakayoko alipocheza mechi kama hizo na ulinganifu wa matic? Saiv hata ac milan hana namba
Bakayoko hakuwahi kuwa bora tangu amefika Chelsea...

Tatizo lenu ninyi huwa mnajua kuwapa watu majina hata kama viwango vyao viko chini. Wakat Matic yuko Chelsea hakuwa bora, cha ajabu amekuja man u et leo ni bora....

Sasa nyie kila mwaka mnasajili wachezaji na kuwapokea kwa mbwembwe cha ajabu hamchukui Epl... Man u ishaisha mmebaki ninyi tu ndo mnajipa moyo
 
Mkuu huyu anamtetea joginyo mzee wa back pas.yan defence na defence midfielder ndo wamepiga pasi nying chelsi meaning wanapasiana wao kwa wao kama kupoteza muda
Tatizo hamuangaliagi mpira... Pasi nyingi kutokea kwa mabeck sio kwa sababu wanapiga back basi la hasha ni kwa sababu mpita unaanzia nyuma kwa Kepa... So kepa ndo anaanza kutoa pasi kwa hyo akina rudiger ndo wanaanza kichezesha mpira....

Angekua anapiga back pass sasa hayo magoli yamepatikanaje... Yani unasema Chelsea inapiga back pass wakat inafunga magoli... Hivi nyie mmelogewa huyo Pogba
 
Bakayoko hakuwahi kuwa bora tangu amefika Chelsea...

Tatizo lenu ninyi huwa mnajua kuwapa watu majina hata kama viwango vyao viko chini. Wakat Matic yuko Chelsea hakuwa bora, cha ajabu amekuja man u et leo ni bora....

Sasa nyie kila mwaka mnasajili wachezaji na kuwapokea kwa mbwembwe cha ajabu hamchukui Epl... Man u ishaisha mmebaki ninyi tu ndo mnajipa moyo
Hapa tunajiabisha tu kuendelea na ww mpira wenyewe hujui unaongozwa na chuki tu
Si ajabu ulitoa na utabir wako ukajua mpira na sawa na kununua fungu la nyanya kwamba united wanafungwa nne

Sasa tunakupuuza wewe sio level yetu wala sio mpinzani wetu.
 
Sasa unaacha kujibu hoja unaingia vichakani
 
Kwa kukudharau tu nilikujibu kiupuuzi
Sema umeshindwa na hoja, mpira ni data sio porojo.... Watu mnasifia mtu kama Pogba wakati hakuna achofanya mmekua kama misukule vile mnapiga kelele tu haya hamjui mnapiga kelele za nini...

Wakat anakuja yani ni mliongea mpaka mkafanya Hazard aonekane hajui mpira saiz naona ninyo wenyewe mnaanza kichambua pumba na mchele... Polepole mnaanza kumuelewa Hazard
 
Misukule tena ona utoto wako ndo mana mnamzomea hadi kocha wenu bila sababu ya msingi kumbe vichwani hamna kitu ndo shida ya timu kuvamiwa na mamluk

Pogba ukamfananishe na jojina????? Maajabu ya dunia haya.
 
Back
Top Bottom