Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chukueni na leo sasa kama mnaweza...... Nafasi zenu ni za saba huko, sasa hiv chamipions league mnaenda ku report mnarudi
Naona umeanza kuujua mpira juzi sijui kama unajua kuna kipindi cha mpito?

Uliwahi kuiona barcelona ikisumbua spain toka 1998 hadi 2008? Hicho kipind walikuwa wapi?

Madrid 2002 hado 2009 walikuwa wapi wengi wenu mpira mmeanza kuujua juzi.

Pamoja na kusuasua ni mwaka jana tu hatukufanikiwa kushinda kitu bado tumeendelea kuchukua vikombe japo vidogo

Kila timu lazima ipitie kipind cha mpito kuna generation huondoka na kuja mpya hasa club kubwa
 
nadhani mechi tunayoisubiri sasa ni zidi ya Juventus...

hebu weka kikosi hapa mfano wewe ManU fan ndio ungepata nafasi ya Mourinho kwa ajili ya jumanne
 
Naona umeanza kuujua mpira juzi sijui kama unajua kuna kipindi cha mpito?

Uliwahi kuiona barcelona ikisumbua spain toka 1998 hadi 2008? Hicho kipind walikuwa wapi?

Madrid 2002 hado 2009 walikuwa wapi wengi wenu mpira mmeanza kuujua juzi.

Pamoja na kusuasua ni mwaka jana tu hatukufanikiwa kushinda kitu bado tumeendelea kuchukua vikombe japo vidogo

Kila timu lazima ipitie kipind cha mpito kuna generation huondoka na kuja mpya hasa club kubwa
Ndo muache mbwe mbwe sasa, mkishinda mechi tatu mfululizo bas ndo kelele hatuponi... Kama mnajua mpo kwenye kipindi cha mpito mbwe mbwe za nini
 
Unajua maana ya ushabiki? Ushasikia mpira unashangiliwa kimya kimya rudi ukajifunze mpira ukiongozwa na chuki utapata tabu sana

Mara sijui web kwa hiyo real madrid walikuwa wanabebwa na nani?

Njoo kwenye hili jukwaa kichwani ukiwa timamu unaujua mpira na unajua maana ya ushabiki
 
Wakat anasajiliwa hapakutosha humu, mashabiki wa man u muwe na akiba ya maneno mana mkishinda hata game tatu mfululizo basi kila mchezaji wenu anakua world class player
Soma hii takataka yako wewe ni kipi kilikusibu hadi ujue mnashinda goli nne kama sio vi mechi vitatu vya wakina cadifu? Ulikuwa na akiba ya meneno?

Halafu kumbe mtu mwenyewe wa chelsea

Mlikuwa mnakufa nyie
IMG_20181022_055846_965.jpeg
 
Ndio ipo kwenye kiwango bora ndo mana mpaka leo ni ubeaten ninyi mshatobolewa tayar
Ushawahi sikia tumemaliza ligi bila kufungwa? Unaamini chelsea haitafungwa mechi 9 unbeten mwenzio pep alienda had mech 30
 
Nina Jorginho na Kante nambie kati yao mmoja akija man u ni nani atampiga benchi
Jorginho????? Kisa kupiga pasi labda unitajie kante ila sio huyo mrembo alishindwa hata kupenya katkat ya matic mlichofanya ni kucheza pembeni ndo mana hazard alikuwa kimya viungo wenu tulikata
 
Wakat anasajiliwa hapakutosha humu, mashabiki wa man u muwe na akiba ya maneno mana mkishinda hata game tatu mfululizo basi kila mchezaji wenu anakua world class player
Haijalishi..ukicheza vibaya lazima uambiwe na ukicheza vizuri unasifiwa km kawaida ...regardlessly
 
Jorginho????? Kisa kupiga pasi labda unitajie kante ila sio huyo mrembo alishindwa hata kupenya katkat ya matic mlichofanya ni kucheza pembeni ndo mana hazard alikuwa kimya viungo wenu tulikata
Asee hujui mpira, hivi pale man u una midiefield kama Jorginho... Leta statistics za huyo Matic dhid ya Joginho this season....

Ndo mana nasema man u mashabiki ndo mmebaki wapiga kelele...

Lkn nashukuru umekiri kwamba Man u hakuna midiefield kama Kante
 
Ushawahi sikia tumemaliza ligi bila kufungwa? Unaamini chelsea haitafungwa mechi 9 unbeten mwenzio pep alienda had mech 30
Na ndio maana alichukua kikomba, sasa wew saiz tu ulisha tobolewa kias hcho bado uko kwenye mbio za ubingwa kweli?
 
Asee hujui mpira, hivi pale man u una midiefield kama Jorginho... Leta statistics za huyo Matic dhid ya Joginho this season....

Ndo mana nasema man u mashabiki ndo mmebaki wapiga kelele...

Lkn nashukuru umekiri kwamba Man u hakuna midiefield kama Kante
Lipogba value yake ina-reflect quality yake. Mchezaji wa kiwango pale Chelsea ni Hazard tuu. Ukiona umesajiri mchezaji ambaye haujapata upinzani mkubwa kutoka opponents wakubwa jua huyo ni average na inabidi umtengeneze kuwa big.

Angalia Lipogba anatakiwa na clubs zote kubwa duniani licha ya kujua ni ngumu United kumwachia. Sijaona Joginyo akiwindwa.
 
Back
Top Bottom