Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
Umeanza experience badala ya fact... Mwenzio nimemwaambia alete statistics amekimbia, we nae umekuja et anawindwa... Badala utuletee data za uwanjani hapa unaanza kulete longolongo... Mwishowe utasema ni bora kwa sababu ni fundi wa hair styleLipogba value yake ina-reflect quality yake. Mchezaji wa kiwango pale Chelsea ni Hazard tuu. Ukiona umesajiri mchezaji ambaye haujapata upinzani mkubwa kutoka opponents wakubwa jua huyo ni average na inabidi umtengeneze kuwa big.
Angalia Lipogba anatakiwa na clubs zote kubwa duniani licha ya kujua ni ngumu United kumwachia. Sijaona Joginyo akiwindwa.
