OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Wewe umesahau msimu ulopita nilikupiga game mbili muhimu EPL na FA; msimu wa kwanza wa Conte nilikupiga game mbili muhimu EPL na FA.Imebust mkuu maana zile dakika 6 zimeokoa watu
Mou alishindwa kutumia mbinu yake ya kupaki basi mpka tukasawazisha.!Usiangalie takwimu angalia nani amesawazisha...
Umeshindwaje kuifunga sasa?Kama huyu Ollachuga Oc ndo kabisa baada ya kutoa suluh na liverpool anaamini timu yake ni bora kuishinda liverpool nimemwambia unajiamini na timu ya mtu mmoja hazard? Ona sasa dikika 6 zimeokoa maisha yao
Huoni kama amemdharau sana mourohno.!Chelsea hakuna kituuu!!! Na Mou kweny game kubwa hizi anaendaga amejipangaa vizur. Hazard hakucheza leo na cjui kwann kocha hakumpanga mana hata bench sikumuona.
Sawa tutakuja.Chelsea mkija OT kifo Tu
Haha làbda na wewe ukicheza.Wetu hawa nnauhakika nao 100%
Sio kukaririSawa tutakuja.
Bado mmekariri mpira wa ugenini na nyumbani.
Nikisoma comment zenu nacheka kinoma.
Hii draw imewapagawisha.
Nyie mmekariri kwamba OT lazima mtashinda. Yule mwingine anajipa uhakika wa 100%Sio kukariri
Mkija OT lazima mtakaa tuu
Wewe hutambui home advantage wakati FIFA, UEFA na CAF wote wanaizingatia kwenye mashindano wanayoyaandaa wao
Kama huamini timu yako kwenye robo fainali ya Europa itoe draw ya 1-1 nyumbani, halafu iende kutoa draw ya 0-0 ugenini uone nini kitatokea
Sio suala la kukaririNyie mmekariri kwamba OT lazima mtashinda. Yule mwingine anajipa uhakika wa 100%
Wewe mwenye timu uko nafasi ya ngapi.?Hata dunia itakushangaa mimi ndo nililazikisha suluhu????? Huna timu wewe
Another trash article from football Einstein
Huna timu ya kutoa suluhu old traford ww level yako ni arsenal tu nae sijui kama utamuweza kwake kwako tu alitaka kukufumua toka mwanzo nilikwambia usiiamin timu yako haijafikia level ya soka la city na liverpoo ukishinda ni bahat tuNyie mmekariri kwamba OT lazima mtashinda. Yule mwingine anajipa uhakika wa 100%
Kajamaa kaliwasumbua sana liverpool baada ya kubahatisha ushindi wa fa na suluhu ya lig kwao basi akajua wana bonge la timu nilimuonya nyie kisoka bado sana sasa jana kwao wanaomba hata droo itokeee hahahahaha chelsea banaMimi nikisoma tambo zako kabla ya game nacheka vibaya mno mkuu.
Mata akiwa anatoka nafasi yake aijaze Fred. Hawa vijana wapo sharp. Lukaku awe anafanyiwa sub au Rash acheze Centre Foward alafu mbawa moja acheze Perreira. Lukaku fomu imegoma japo mwili wake ni mtajiMourinho anatakiwa aendelee kuwatumia martial,rashford na mata