radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kati ya vitu anavyonifurahisha mkurugenzi wa manchester united ni saula la mikataba ya wachezaj sina shaka martial atasaini tu angekuwa mzembe hata de gea tungemkosa pogba kuuzwa ajipange sana hawezi kutoka kirahisi.
Shaw alikuwa na mawenge katia saini
Shaw alikuwa na mawenge katia saini