Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wachezaji wanakosa morali na kujiamini kwasababu kocha ameapproach game kiboya..
Wachezaji wetu ni wazuri ila kocha anatuangusha..
 
Atuitaj magoli ya kubaatish! Tuna taka kuona flow nzuri ya mpira ni mipango madhubut ya kutafuta bao
 
Atuitaj magoli ya kubaatish! Tuna taka kuona flow nzuri ya mpira ni mipango madhubut ya kutafuta bao
Kufunga Rudiga imetokana na mpango?? Sometimes kuwin game inategemea ni namna gani unacapitalize kwenye makosa ya opponent wako. Timu kubwa zinafungana hivyo
 
Back
Top Bottom