Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,512
Mimi ndio yule Mtanzania ambae nimetukanwa vya kutosha humu ndani kuhusu Mou.
Ninawakumbusha mambo ambayo niliyapigia kelele na sasaa yametokea kweli ;Nilisema kuwa,
1) chini ya mou kila mchezaji ataonekana mbovu. Leo umefikia mpaka Pogba anaonekana galasa. Mata garasa, lukaku garasa, Herrera garasa, erick baily garasa, Sanchez, rashford, young , etc
2) Nilisema chini ya Mou hakuna lolote la maana kuanzia mafanikio ya uwanjani na nje ya uwanja. Tangu tulipoanza hii debate hakuna kikombe cha maana tunaweza kusimama na team yoyote kukigombea. Hivi tunavyozungumza hapa tayari tumeshafurumushwa na Derby County kwenye Carabao Cup.
3. Mwisho Kabisa nilisema huyo Mmakonde "Mou" atamaliza failures zake kwa wachezaji Wetu. Leo Pogba ndio amekuwa muhanga Wa upuuzi Wa huyu kocha. Kibaya zaidi kuna mashabiki wameshaingia mtego Wa huyu kocha.
nB: Mods nawaomba mfufue comments zangu kuhusu Mou ili tuanze kuheshimiana humu ndani.
All In All bye Bye ewe Mmakonde "Mou" mwana-mjaa laana ambae umetukosesha amani.