Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho endelea tu kuwepo wakuongeze na miaka 3 mbele.

Nakutukana kimoyomoyo tu nisije pigwa ban
 
Hahahhahaha refaree kakataa kutoa penalt hata japo kana hahahhahaha. Mtakonda sana mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
 

Mou na Lukaku ni sawa na Magufuli na Makonda.
Watatoka wote ila lukaku atabaki.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485]
Naona kazi mliyomtuma ameikamilisha vilivyo.
 
Hakuna coach ambaye man u fans walimkubali kama morinho so disaptmt
 
Lukaku alipokuwa anafunga magoli last season mlikuwa mnawapiga madongo waliocheka ununuzi wake. Sasa mnakubali.

Mou na Lukaku ni sawa na Magufuli na Makonda.
Watatoka wote ila lukaku atabaki.
 
Lukaku alipokuwa anafunga magoli last season mlikuwa mnawapiga madongo waliocheka ununuzi wake. Sasa mnakubali.
Sikumbuki kama niliwahi kuwa na imani na Lukaku mkuu,sio aina ya wafungaji ninaowakubali.
 
Mi ningekua Jose kuepuka kuchafuliwa CV ningepiga chini tu ,,,sasa hapa inaonekana timu zote alizofundisha anafukuzwa isipokua Porto na inter
 
Half tym. Mou katangulia dressing room. Baily na kina Smailing wanaenda kukoga matusi. Sipati picha.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
mbona kama mou anakimbia 1kwa1 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom