Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho atakapoondoka Man U Uengereza hawezi Kuchukuliwa tena na Top 6 yoyote, Wala Spain Hawezi Rudi tena (Kwa Real & Barca)..

Kwahiyo Bado Nafasi anayo Kwani Kabakisha PSG, Bayern na Juventus anweza Kwenda kujaribu Kurewrite expired CV Yake.
Mkuu pole kwa yalokusibu huko kwenye nchi ya Carabao
 
Hebu taja tabia za Pogba alizoonesha ???

Ninachojua Pogba kasema mbinu za mou ni outdated , litimu kila siku linapaki basi kwani uongo ??? Sasa hapo kosa lake lipi ???

Nataka unijibu
Huyo mchezaji huwa hajitumi na ninashangaa huyo kichaa mwenzie kumpa kitambaa cha unahodha. Pogba ameshapangwa namba tofauti tofauti hata hizo anazolilia ila yuko slow,sometimes anachelewesha mipira,anadondoka kirahisi sana,ananyang'anywa mipira kirahisi sana. Anapenda kupimana mabavu na opponents hata pasipo na sababu ya msingi. Mimi naona kocha na huyo mchezaji in walewale tu. Ikiwezekana wote Out!!
 
Matatizo ya United ni mengi sio kocha tu (Mourinho) kumbuka Moyes & LVG wamefundisha kabla ya Mourinho there was no any progress kibaya zaidi huenda cycle ya kuleta kocha mpya na kumfukuza itandelea until management watakapoweza ku-adress matatizo yote.There is no manager will fix this team in 2 years
Mbinu za Mou zimepitwa na wakati. Anaumizwa na kivuli chake
 
Nachosema Mourinho kama manager mwingine alichofanya(kumvua unahodha Pogba) ni sawa. Pogba amepata kichwa hasa baada ya kuwa the expensive player then kuwin WC. But hajafanya lolote la kutisha kama wachezaji wengine. Kante ni bonge la mchezaji (high consistence performance) kuliko Pogba. Nakumbuka Ferguson alimtimua Roy Keane from Manchester United baada ya kuikosoa timu then ilikuwa behind the scenes (if I remember it right)
Jose amejitahidi sana kumpa Pogba kila alichotaka ili but Pogba ameshindwa kum

1.United legends (Scholes,Neville)+English pundit (Souness,Carra) attack Pogba Jose defend him
2.Mourinho favourite system is 4-2-3-1 but he change to 4-3-3 in order to please Pogba
3.Jose ignore senior players (Young,De Gea,Mata,Herrera) to give Pogba captain armband
4.Strip Lukaku first team penalt takers and give him

But Pogba has done nothing to protect his manager
 
Hapo ni sahihi. Ila hiyo haimaanishi Jose ni kocha mzuri
 
Matatizo ya United ni mengi sio kocha tu (Mourinho) kumbuka Moyes & LVG wamefundisha kabla ya Mourinho there was no any progress kibaya zaidi huenda cycle ya kuleta kocha mpya na kumfukuza itandelea until management watakapoweza ku-adress matatizo yote.There is no manager will fix this team in 2 years

Mkuu Belo afadhali umekuja hadharani. Moyes lilikuwa chaguo la fergie ingawa kila mtu alijua tunatafuta kocha wa kudumu. Lvg alikuwa kocha sahihi ila tatizo lake alitaka kuibadilisha filosofia ya uchezaji wa klabu yetu ndio maana alifanya overhaul ya wachezaji kibao waliokuwa hawafit kwenye mfumo wake akabaki na vijana wengi. Kumbuka kubadili filosofia kulihitaji muda mwingi zaidi kitu ambacho wapenzi na mashabiki waliona anapoteza muda ikizingatiwa walikuwa wamezoeshwa kubeba ndoo mara kwa mara.
Makocha wengi wapya ndani ya epl wameingia na wamejenga timu za kueleweka ndani ya muda mfupi,kwanini sisi tunabaki na utetezi wa muda wakati hata dalili ya mabadiliko hakuna?
Kwa maoni yangu binafsi,tatizo la man utd liko kwa mourinho na sajili zake za kukomoa au kubahatisha.
 
Jose amejitahidi sana kumpa Pogba kila alichotaka ili but Pogba ameshindwa kum

1.United legends (Scholes,Neville)+English pundit (Souness,Carra) attack Pogba Jose defend him
2.Mourinho favourite system is 4-2-3-1 but he change to 4-3-3 in order to please Pogba
3.Jose ignore senior players (Young,De Gea,Mata,Herrera) to give Pogba captain armband
4.Strip Lukaku first team penalt takers and give him

But Pogba has done nothing to protect his manager

Yote haya anayafanya ili aonekane kuwa hakukosea kufanya usajili wa pogba uliovunja rekodi ya uhamisho,sasa tujiulize,je, anatengeneza timu ya manchester united au pogba football club kwa privilege zote anazompatia?
 
Hamna mchezaji anayependelea kuona timu inashambuliwa muda wote.
Pogba atakuwa na wafuasi wengi tu.
Hakuna kitu kama hicho, wengi humu wanaongea tu,wachezaji wengi wamefurahi pogba kustaafishwa ucaptain,7b siko nyingi pitia skysports kidogo ambao ndo wa kwanza kuonesha video ya jana tizi,
Pogba sio man utd player,ferguson aliliona hili mapema ila mafanikio alyopata dgo kule juve yakatupogisha,now pogba na eric njemba njemba namchukua njemba njemba..aaargh .
2wape tu juve watupe hata matuidi
 
Mkuu Belo afadhali umekuja hadharani. Moyes lilikuwa chaguo la fergie ingawa kila mtu alijua tunatafuta kocha wa kudumu. Lvg alikuwa kocha sahihi ila tatizo lake alitaka kuibadilisha filosofia ya uchezaji wa klabu yetu ndio maana alifanya overhaul ya wachezaji kibao waliokuwa hawafit kwenye mfumo wake akabaki na vijana wengi. Kumbuka kubadili filosofia kulihitaji muda mwingi zaidi kitu ambacho wapenzi na mashabiki waliona anapoteza muda ikizingatiwa walikuwa wamezoeshwa kubeba ndoo mara kwa mara.
Makocha wengi wapya ndani ya epl wameingia na wamejenga timu za kueleweka ndani ya muda mfupi,kwanini sisi tunabaki na utetezi wa muda wakati hata dalili ya mabadiliko hakuna?
Kwa maoni yangu binafsi,tatizo la man utd liko kwa mourinho na sajili zake za kukomoa au kubahatisha.

Lazima management ikubali SAF ambaye alitengeneza profile ya hii timu hayupo tena so team inahitaji kuanza upya.Kwanza kuchagua kutafuta temporary manager(LVG,Mourinho) kuirudisha timu kugombania ubingwa ndani ya muda mfupi (ambayo imeshafeli) au kutafuta young long term manager give him money & time (ndio the better option so far)

Pia United inahitaji Director of Football/Sporting Director atakayekuwa ana-link between CEO & Manager na hii itasaidia ku-punguza matatizo yaliyopo kwenye mfumo wa club,Klabu kama Bayern,Juventus,Dortmund,Man City,Liverpool,PSG,Barca wote wanatumia mfumo huo.So far timu ina wachezaji waliosajiliwa na makocha 4 (SAF,Moyes,LVG,Mourinho) na wote falsafa zao ni tofauti ndio maana akija kocha mpya anapata taabu kufanya kazi na wachezaji aliowakuta
 
If your best players aren’t happy, you simply can’t get the best results, there’s something about the chemistry between the players and MOU which is completely off. The Club needs to address this ASAP or we might be looking at one of our worst seasons under MOU.
 
Huyo mchezaji huwa hajitumi na ninashangaa huyo kichaa mwenzie kumpa kitambaa cha unahodha. Pogba ameshapangwa namba tofauti tofauti hata hizo anazolilia ila yuko slow,sometimes anachelewesha mipira,anadondoka kirahisi sana,ananyang'anywa mipira kirahisi sana. Anapenda kupimana mabavu na opponents hata pasipo na sababu ya msingi. Mimi naona kocha na huyo mchezaji in walewale tu. Ikiwezekana wote Out!!
You're shallow minded fvking Fan,
 
Kumbuka Pogba ndio alichomoa goli final ya Europa kabla ya Miki kupiga msumali Wa pili ,
 
Lazima management ikubali SAF ambaye alitengeneza profile ya hii timu hayupo tena so team inahitaji kuanza upya.Kwanza kuchagua kutafuta temporary manager(LVG,Mourinho) kuirudisha timu kugombania ubingwa ndani ya muda mfupi (ambayo imeshafeli) au kutafuta young long term manager give him money & time (ndio the better option so far)

Pia United inahitaji Director of Football/Sporting Director atakayekuwa ana-link between CEO & Manager na hii itasaidia ku-punguza matatizo yaliyopo kwenye mfumo wa club,Klabu kama Bayern,Juventus,Dortmund,Man City,Liverpool,PSG,Barca wote wanatumia mfumo huo.So far timu ina wachezaji waliosajiliwa na makocha 4 (SAF,Moyes,LVG,Mourinho) na wote falsafa zao ni tofauti ndio maana akija kocha mpya anapata taabu kufanya kazi na wachezaji aliowakuta
Mkuu una mahaba Niue na pogba sawa lakini mahaba ndivyo yalivyo.
Niliwahi kutabiri humu kama wewe ni active fan Wa Uzi huu tafuta comments zangu zote,

Nilisema Man united haiwezi fua dafu chini ya Mou na chini ya huyo kocha wachezaji wataharibiwa viwango

Top on that nilisema chini ya Mou Kila mchezaji ataonekana mbovu. Naona utabiri wangu unazidi kuwa sahihi.
 
Lazima management ikubali SAF ambaye alitengeneza profile ya hii timu hayupo tena so team inahitaji kuanza upya.Kwanza kuchagua kutafuta temporary manager(LVG,Mourinho) kuirudisha timu kugombania ubingwa ndani ya muda mfupi (ambayo imeshafeli) au kutafuta young long term manager give him money & time (ndio the better option so far)

Pia United inahitaji Director of Football/Sporting Director atakayekuwa ana-link between CEO & Manager na hii itasaidia ku-punguza matatizo yaliyopo kwenye mfumo wa club,Klabu kama Bayern,Juventus,Dortmund,Man City,Liverpool,PSG,Barca wote wanatumia mfumo huo.So far timu ina wachezaji waliosajiliwa na makocha 4 (SAF,Moyes,LVG,Mourinho) na wote falsafa zao ni tofauti ndio maana akija kocha mpya anapata taabu kufanya kazi na wachezaji aliowakuta
Sioni umuhimu wa kufukuza kocha tutahangaika sana mana atakae kuja ataanza kusajili bora tuvumilie mapendekezo yake yatakelezwe hizi program za kuishia njiani zina matatizo sana
 
Back
Top Bottom