Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mtukanane humu muuane hata mnuniane ila cha msingi ni Mou aondoke pale aende akapumzike ajitafakari.
....
kwanza tulimchukua akiwa kaisha utamu aliiacha Chelsea nafasi ya 13 sijui 15 alafu limtu linamtetea hahahahahah
😀😀😀
 
hapo ndio ujue kuna plastic fans wengi hawajui mpira alafu anakuja kuropaka mbele ya wanaume eti martial takataka aisee kuna watu mafala sana duniani
√Martial ni potential kwa timu yetu.. ndo maana watu wenye akili kama ed woordward wanamshawishi aongeze mkataba

√Mourinho ni lazima atuachie timu yetu asizidi kuhiaribu..

√Sanchez katoka kufunga magoli 24 arsenal leo hii anacheza kama mchezaji wa daraja la tatu..

√Ni bora ugombane na mchezaji huku uwanjani ukiwa unaifanya timu ionekana kama timu kweli..hili huyu mreno kafeli,uwanjani na nje ya uwanja..Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwepo OT??

√Westham weekend hii sijui litakalotokea..ila amini usiamini,kwa mwendo huu top 4 tushaikosa
 
Hahahaha hapa nimecheka sana hilo ni kweli hata bodi haijui ifanye nini unajua aliwawahi kwenye media kwamba kashindwa kupewa maombi yake bila hivyo angechinjwa
Anaakili mno pia anajua psychology ya mashabiki blood fan na jinsi ya kutupata tusimame upande wake
 
Anaakili mno pia anajua psychology ya mashabiki blood fan na jinsi ya kutupata tusimame upande wake
Mimi alienikera ni mkurugenzi wa timu maana kama uliangalia final ya europa na ajax tulipak basi vibaya sana hadi kocha wa ajax aliongea ilikuwa final mbaya sana cha kushangaza alienda kumpa mkataba mpya sasa nani mpuuzi hapo kati ya kocha au mkurugenz

Najiuliza jina la mourinho linafaida kibiashara juzi kaongea ktk press wakat wanatangaza fauda kumpatia pesa za usajili kocha sasa jiulize kwa nini? Hapo ndipo timu inapogawanyika
 
Wakuu mimi namkubali mourinho lakini kwa haya yanayoendelea Mourinho ataondoka yeye na kuacha wachezaji.

Pogba hawezi kuuzwa kisa mourinho iyo never,Mpira ni biashara na pogba anaiingizia timu pesa ndefu so Grazers hawatakubali kumpoteza Pogba kiurahisi.

Mourinho anafeli vitu vidogo vidogo pale Man utd.Akilekebisha timu itakaa sawa.



Sanchez na Lukaku inabidi wagombanie no 9

Martial na Rashford wagombanie wing ya kulia

Lingard,Mata na Perreira wagombanie winga ya kulia

Fred na Herrera wagombanie kati

Valencia,Young na Dalot wagombanie beki ya kulia

Smalling,lindelof,jones na Rojo wagombanie no 4

Pogba,Matic,Shaw,Bailly na De gea hawa hawana bench namba tayar first eleven.

Fellain kilaka anaejitegemea...special case.
 

Hivi wanaomuunga Mou mkono wanatumiaga vigezo gani?

Hakuna mechi hata moja ambayo tumeshinda EPL tungetoka salama kama zingeongezwa dakika tano tu, ukiacha game ya Young boys.
 
Mou Out! Kiukweli hata wachezaji wengi wazuri wanagona kucheza chini ya Mou refers Matteo Kovacic aliamua kwenda Chelsea badala ya United, naamin chini ya Mou tusahau kunasa zile big signs, trust me.

Ggmu
 

Hivi wanaomuunga Mou mkono wanatumiaga vigezo gani?

Hakuna mechi hata moja ambayo tumeshinda EPL tungetoka salama kama zingeongezwa dakika tano tu, ukiacha game ya Young boys.
Mkuu mourinho haungwi mkono kama ni kocha mzuri isipokuwa alieleta ujinga ni mkurugenzi wa timu ndo mana hadi alikodiwa na ndege atoke yeye kwa upuuzi wake unampaje mkataba mtu ambae huoni mabadiliko chanya? Anamsifia kocha kisa timu inashiriki uefa kakwepe faini ya adidas maana mkataba wa adidas timu isiposhiriki uefa wanalipwa adidas hapa yeye ndo kaharibu timu kocha alitakiwa kutoka mapema sana kakimbilia kumtia li mkataba la hovyo sana
 
Nashindwa kujua kwanini management inaacha hili suala litawale kwa kipindi kirefu hivi bila kuingilia kati mapema,au wamegeuka kama wanasiasa wa bongo kuwa ni upepo tu na utapita
 
Back
Top Bottom