Nilitahadharisha tangu mwanzo wa msimu baada ya kuona unahodha anapewa valencia kuwa nitautumia muda wangu vizuri kujisomea vitabu kuliko kujishughulisha na manchester united hii ya mourinho.
Hivi bado tunaona kuwa ed kamuangusha mourinho kwenye dirisha la usajili hata kwenye game kama hizi?
Uwezo wa timu hausadifu uwekezaji uliofanywa hata kama mpira unadunda.
 
Ndio mchezo ulivyo

Kuna wakati unapata matokeo mabaya ambayo hukutarajia

Man UTD wanapaswa kutumia nafasi za kufunga magoli wanazozitengeneza, maana huwa hazijirudii
 
Hapa alimaanisha nini kwa mfano??!
frank lampard alikuwa ni nahodha msaidizi wa chelsea na paul pogba ndiye nahodha msaidizi wa manchester united kwa sasa.
inamaana jose mourinho amerusha jiwe lenye uzito wa kg 30 kwa paul pogba ila bahati mbaya hakuna atakayemuelewa na mipasho yake kwa muda huu.
Hoja ya paul pogba ni sahihi ya kwamba jose mourinho yupo outdated version ya ufundishaji wa soka.
Reports on Tuesday suggested Mourinho told Pogba he would never captain United again to underline his authority at the club.


1537936994206.png
 
"I was a champion in Italy, Spain, Portugal, England...3 times in England! How many trophies has Lampard won as a manager? Zero. I won him his first trophy. Derby is a fantastic team with a fantastic coach but were they lucky? I don't know. I think the free kick was offside". Oladayo Ogunrinde on Twitter

🤣🤣🤣🤣🤣

United fans spent much of their dominant period under Sir Alex Ferguson responding to the talk of rivals’ former glories with great mirth, accusing them of living in the past. But right now they have a manager who appears to be doing exactly the same.
 
Kama kuna MTU anaweza kufufua comment zangu kuhusu Mou naomba anisaidie Jamani.


Niliandika weeeeeee nikawa naonekana Mpuuzi na kuitwa kila aina ya Majina bahati nzuri Mungu sio Radika wala PRONDo kipigo na kiwango cha team yetu kinazidiwa hata na JKT Ruvu ya Masau Bwire.




Nasema tena Team hii haitafua dafu chini ya "mzaramo" Wa kisiju Jose Mourinho.



GGMU
 
168 Reactions
Reply
Back
Top Bottom