Kama kuna MTU anaweza kufufua comment zangu kuhusu Mou naomba anisaidie Jamani.

Niliandika weeeeeee nikawa naonekana Mpuuzi na kuitwa kila aina ya Majina bahati nzuri Mungu sio Radika wala PRONDo kipigo na kiwango cha team yetu kinazidiwa hata na JKT Ruvu ya Masau Bwire.

Nasema tena Team hii haitafua dafu chini ya "mzaramo" Wa kisiju Jose Mourinho.

GGMU
Na kizuri zaidi ni kwamba madogo hawakubahatisha,walicheza mpira mzuri kuliko MUFC ya Mou.
 
Jamaa hawachelewi kukwambia wewe ni plastic fan

Mourinho hapa united anabahatisha tu..kocha gani huna hata first eleven inayoeleweka??
 
√Nimecheki reviews mtandaoni mashabiki wengi wamempongeza martial kwa kuonyesha jitihada jana..ila cha kushangaza huyu Mswahili wa Kireno atampanga Sanchez aendelee kucheza upumbavu wake mechi ijayo ya westham..

√Mourinho kaigawa sana timu yetu ni muda sasa atuachie timu yetu kwani hakuna kitu ambacho atatusaidia

√Msimu umeisha huu carabao out,Ligi out,Uefa muda sio mrefu tutakuwa out..

√Kuna vijamaa humu huwa vinamtetea sana Mou,sasa hata kwa Derby count unashindwa kufurukuta tena OT..

√Man united should take this fecking cnut out of our club
 
Mpira wa ujanja ujanja hauna nafasi tena
Mpira wa ujanja ujanja una mwisho
Mkuu Radika hivi kuwafunga Derby County unahitaji World class Player au kuwafunga Derby County unahitaji usajili wa wachezaji gani hahahahahahahahaha
 
Na kizuri zaidi ni kwamba madogo hawakubahatisha,walicheza mpira mzuri kuliko MUFC ya Mou.
Kocha Mwenye akili timamu hawezi kuongea juu upuuzi
IMG_20180926_113703.jpg
 
Wakuu natamani nitukane sana nipigwe ban ya maisha kuanzia Man u hadi humu....inaumiza sana huyu Mou anachofanya kweli Mou wakutupeleka Europa dah....

Timu tunayo nzuri sana tu tatizo huyo anaepanga wachezaj na mbinu za kutumia ndio shida....Mda flan mtu unatamani hata kujinyonga ufe labda board itaelewa kiasi gani tunaumia...
 
Mkuu pole hahaha
 
Mourinho ana quality player lakini bado anateteleka hivi angepewa West Ham kuiongoza si angekua mtu mwenye stress zaidi...
Lampard Frank Lampard alimzidi vitu vingi sana kiufundi Jose Mourinho katika mchezo wa Manchester United 2(7)-2(8) Derby Country.
Mpira ni mchezo wa wazi sana, unapozidiwa shurti uaibike na ndicho Mwanafunzi alichomfanya Mwalimu wake wa zamani.

Jose Mourinho ana vipindi vyake, hiki ni miongoni mwa vipindi vyake, bahati mbaya tu United hawana Doctor wa Kike aidhinishe safari aliyoizoea Jose Mourinho.

Frank Lampard identity yake tactically imeonekana na niliipenda zaidi ule mguu wa Wilson machoni mwa Romero mbele ya ukuta wa faulu.

Kilichobaki kwa Jose ni kuhesabu alichokivuna na sio atakachokivuna.
 
Back
Top Bottom