Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We are in the same Boat Now! Sote tumebakia Kuwa Ni Wana Historia tu! Our 27 yeras kwenye EPL was aslo 6 once, you'll find out soon..
Endelea Kujifariji na Mafanikio ya Ferguson yaliyobakia Kuwa Ni Historia tu.
Liverpool fans talking about history

Msimu pekee ambao hatujabeba kombe lolote ni msimu uliopita. Can u remind me the last tym you losers celebrated the trophy?
 
Liverpool fans talking about history

Msimu pekee ambao hatujabeba kombe lolote ni msimu uliopita. Can u remind me the last tym you losers celebrated the trophy?

Obviously History Begins like that
 
Mou vs PP
Screenshot_20180925-204804.jpg
 
Derby wapo ugenini lakini wanajiamini na kuelewana kuliko sisi wenyeji.

Hii timu,kazi ipo.
 
Naotea; Pogba will win kwenye hii battle na morinho... Cuz tayari anabackup ya Antony martial na wachezaji wengine..all they needed is someone to stand and speak for them..morinyo atafukuzwa utd
 
Back
Top Bottom