Mou hajitambui,,halafu media zikimkosoa anaishia kukasirika ,kususa na kujifanya amedharauliwa,wakati anaangaika na mbinu za karne iliyopita
 

Eeh Mungu naomba tupate vipigo vitatu tena ili nione kama Mou atabaki.

MUFC ya mou hata yanga wakijiamini wanapata matokeo.
 
Timu tulionayo ndio hii hata akija Zidane hakuna atakacho badilisha.

Zidane haiwezi Man utd

Angalau Diego Someone anaweza kufanya kitu pale ila sio Zizzou.

Bado ninaona Mourinho ni mtu sahihi pale utd.

Time will tell
A wapi bulaza just imagine tunapaki hadi kwq derby teba OT timu haina njaa kabisa
 
mou anatuzingua atoke tu ! timu haishambulii ye akipata 1 au 2 basi anataka wauwe game hataka goli 4 wala 5
 
Back
Top Bottom