radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Inabidi nikuache toka mpira kuutafuta kwa tochi hadi unalilia shorts on target nenda jukwaa la manchester city hukoHvi unajua maana ya short on goal au short on target ???
Inabidi nikuache toka mpira kuutafuta kwa tochi hadi unalilia shorts on target nenda jukwaa la manchester city hukoHvi unajua maana ya short on goal au short on target ???
Jitazame hapo afu jilinganishe na liverpoolInabidi nikuache toka mpira kuutafuta kwa tochi hadi unalilia shorts on target nenda jukwaa la manchester city huko
Hakuna watu nawatamani kama nyumbu wa manuInabidi nikuache toka mpira kuutafuta kwa tochi hadi unalilia shorts on target nenda jukwaa la manchester city huko
Unaizungumzia manchester city nini?Hakuna watu nawatamani kama nyumbu wa manu
Nakuhakikishia kufa 4
Kwa hiyo lipi zuri na lenye tija, kumiliki mpira pekee au kushinda!? Yaani unafungwa halafu utetezi wako ni kwamba na wewe siku hiyo ulikuwa bora kuliko aliyekufunga kwa sababu ulimiliki mpira zaidi yake!? LIVERFOOL fan subiri round ya kwanza iishe angalau utaweza sema kitu chenye uelekeo unaoelekeaUnafurahisha wew
Yaan wew kuifungaga liver ni kwa kubahatisha tu bc
Last game unakumbuka mlivyo usaka mpira kwa tochi hapo hapo OT
Naomba isiwe uvumi tu iwe kweli. Tutafaidika sisi,manake hyo 50 tutaongezea kidogo tutafute kiungo mbadala Wa pogba ambaye atakuwa tayari kuhangaika uwanjani kwa ajili ya timuImeripotiwa kuwa Juventus ipo tayari kutoa Pound Milioni 50 sawa na zaidi ya Bilioni 149 za Kitanzania pamoja na Paul Dybala ili kuinasa saini ya Paul Pogba anayekipiga Man United ktk dirisha dogo la usajili mwezi Januari 2019.#MillardAyoUPDATES
Yani sijui kama kuna mtu atapinga hili natamani hata kesho litokeeeNaomba isiwe uvumi tu iwe kweli. Tutafaidika sisi,manake hyo 50 tutaongezea kidogo tutafute kiungo mbadala Wa pogba ambaye atakuwa tayari kuhangaika uwanjani kwa ajili ya timu
Biashara hiyo haiwezekani mkuuYani sijui kama kuna mtu atapinga hili natamani hata kesho litokeee
Ndivyo nikivyoona pia. Martial kamponza Matic.Katika hii timu kuna muda sielewi nani wa kulaumu kati ya kocha au wachezaji.
Hebu angalia goli la Watford jamaa alivyofunga kilaiini kabisa. Vibweka vya pogba hadi anapoteza mpira. Hata hii kadi ya njano ya pili ya matic nadhani Martial aliporwa mpira akifanya ujinga.
Juve hawawez kutupa huyo dogo mkuu?Biashara hiyo haiwezekani mkuu
Yeah kwao itakuwa biashara kichaa dybala ni asset ambayo wanaweza piga pesa ndefu hawawezi mtoa kirahisi hivyoJuve hawawez kutupa huyo dogo mkuu?
Ndivyo nikivyoona pia. Martial kamponza Matic.
Dogo akipoteza hakabi, ikipigwa mbele yuko lukaku peke yake dogo haonekani. Tukishambuliwa nyuma haonekani, akipewa pasi ya kufunguka anapozi kwanza, au anaremba hadi ana poteza.
Wapo wanaosema Lukaku ni striker mbovu hastahili kuchezea United20 - Romelu Lukaku has scored 20 goals in 39 Premier League apps for Man Utd; only three players have reached 20 PL goals for the Red Devils in fewer games than the Belgian - Ruud van Nistelrooy (26 games), Robin van Persie (32) and Dwight Yorke (34). Potent. #WATMUN OptaJoe on Twitter
View attachment 867385
Tambaa tembea kimbia yote inachotakiwa ni kwenda mbele. Tatu muhimu Smalling kafunga goli zuri sana.
Namba 6 kwenye premier league unapaswa kuwa na nguvu na roho ngumu,Perreira asili yake ni namba 8 au 10 na alikwenda Valencia kwa mkopo alikuwa anacheza kama wingaKumbuka hata valencia alikua namba 7...ila kwa sasa ni namba 2 tegemezi.. Ningekua mou ningemjenga perreira awe namba 6 na ameonyesha anaeza akipewa nafasi...
Zizzou na wadogo wa Munich hii khatari sana
Munure ni nini?? vile akili yako inataka ndivyo tunavyokupeleka ukija kwa nidhamu utaheshimika ukija kihuni utajibiwa kihuni jifunz adabu kama wakina mentor na aden + southern highland