Tusubiri kipindi cha pili
Vipi mbona hujapangwa leo, au ulikuja na majeraha from international break??!Tusubiri kipindi cha pili
Nakutafuta Bailly5Tusubiri kipindi cha pili
Naheshimu maamuzi ya kocha.Vipi mbona hujapangwa leo, au ulikuja na majeraha from international break??!
Njoo....Nipo hapa cute b
Watu mna maneno kwani mech na burnley kikosi kilikuaje?Leo naona kocha kaamua kukwepa lawama..kaweka wakongwe na kaamua kupaki bus.
NakujaNjoo....
Hahahaha. Kocha aheshimiwe.Naheshimu maamuzi ya kocha.
Magoli yenu ya ndondo leo unachongaaJamani I don't wish you anything, ninyi siyo wapinzani kwangu.
Matokeo yoyote tu mpate.
Magoli yenu ya ndondo leo unachongaa