lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,199
- 28,080
Kipindi cha kwanza tumecheza vizur cha pili hovyo
Mpira umebadilika sana yale mambo ya zamani kwa sasa ni ngumu kujirudia kirahisi uwekezaji wa maana unatakiwa hata timu ndogo zinachukua wachezaj wazur mfano everton anaweza kuchukua mchezaji toka barcelona.
Katika hii timu kuna muda sielewi nani wa kulaumu kati ya kocha au wachezaji.
Hebu angalia goli la Watford jamaa alivyofunga kilaiini kabisa. Vibweka vya pogba hadi anapoteza mpira. Hata hii kadi ya njano ya pili ya matic nadhani Martial aliporwa mpira akifanya ujinga.
Hebu angalia goli la Watford jamaa alivyofunga kilaiini kabisa. Vibweka vya pogba hadi anapoteza mpira. Hata hii kadi ya njano ya pili ya matic nadhani Martial aliporwa mpira akifanya ujinga.