radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kumbe umekuja kukebehi ndo mana unakurupuka ktk baadhi ya mamboAcha matusi company c baki mgumu
Bek wagumu kwa sasa
VVD
BEILLY
na yule mlikua mnamlilia nadhan ushamfahamu![]()
Kumbe umekuja kukebehi ndo mana unakurupuka ktk baadhi ya mamboAcha matusi company c baki mgumu
Bek wagumu kwa sasa
VVD
BEILLY
na yule mlikua mnamlilia nadhan ushamfahamu![]()
Hilo ndilo linanipa wasiwasi kiungo ukiweza kutulia kama fernandinho utafanya poa huwa napenda sana anavyocheza huyu jamaa sisi tunatakiwa kupata kiungo kama cha fernandinhoFellain naye ball control ni shida sasa kiungo anayeshindwa kuumiliki vema mpira ni hasara sana. Jamaa strength yake ni mipira ya juu zaidi,huku chini mtu unakuwa huna uhakika
Wp wew???Kumbe umekuja kukebehi ndo mana unakutupuka ktk baadhi ya mambo
Mtu akifika hali hii kitaalamu tunajua kisha kwisha.Wp wew???
Co kwel nakungoja nikunyoroshe pale anfieldMtu akifika hali hii kitaalamu tunajua kisha kwisha.
Subiria manchester city ushinde kombe lako sio hiyo takataka kutuambia wababe wako ndani ya miaka minne sasaCo kwel nakungoja nikunyoroshe pale anfield
Haha unafurahisha city nimemuosha mpaka hana hamu na mimi game 3 nyuma hajafurukutaSubiria manchester city ushinde kombe lako sio hiyo takataka kutuambia wababe wako ndani ya miaka minne sasa
Ndo mana nimekwambia liverpool kombe lake ni kumfunga manchester city tu hiyo ndo kazi nyepes kwake mechi ya jana umeshinda kwa wenyewe kuwapasia sikuona kipyaHaha unafurahisha city nimemuosha mpaka hana hamu na mimi game 3 nyuma hajafurukuta
Jana nimekupigia alie kuburuza 3
Ni U-WEUSI wake tu ulikuwa unamponza, kupata TUZO kubwa!Kumfananixha drogba na lukaku duh kwel washabik wa manu mmekosa cha kufanya haha drogba ni moja ya mtu hatar kuwah kutokej EPL
YNWA
Ukiwa unakuja hapa hakikisha unasoma vitu kwa utulivuKumfananixha drogba na lukaku duh kwel washabik wa manu mmekosa cha kufanya haha drogba ni moja ya mtu hatar kuwah kutokej EPL
YNWA
Unafurahisha wewNdo mana nimekwambia liverpool kombe lake ni kumfunga manchester city tu hiyo ndo kazi nyepes kwake mechi ya jana umeshinda kwa wenyewe kuwapasia sikuona kipya
Kumfunga manchester united unahitaji bailly ajifunge ktk vitimu ambavyo huwa sivifikirii ni liverpool.
Pointless ngoja nikuache sio level yangu wewe wenzio wanashinda mech wanapata point unazungumzia mpira kuusaka kwa tochi hizo ndo point zenu?Unafurahisha wew
Yaan wew kuifungaga liver ni kwa kubahatisha tu bc
Last game unakumbuka mlivyo usaka mpira kwa tochi hapo hapo OT
Lakini mechi kashinda liverpool mpira alikuwa nao spurs ndo mana nimekuambia jana sikuona kitu kwako ila ukileta ushabiki huwez kuona hilo hii ina maana liverpool aliingia kwa lengo la point 3 tu ndivyo hivyo mourinho anacheza na wewe unakuacha ukimbimbie jioni mahesabu.Unafurahisha wew
Yaan wew kuifungaga liver ni kwa kubahatisha tu bc
Last game unakumbuka mlivyo usaka mpira kwa tochi hapo hapo OT
Me nilijua unajua mpira kumbe hujui kabisa sasa mtu anamiliki mpira afu anazidiwa short on target khaa sasa nini lengo la kumiliki mpira brazaLakini mechi kashinda liverpool mpira alikuwa nao spurs ndo mana nimekuambia jana sikuona kitu kwako ila ukileta ushabiki huwez kuona hilo hii ina maana liverpool aliingia kwa lengo la point 3 tu ndivyo hivyo mourinho anacheza na wewe unakuacha ukimbimbie jioni mahesabu.View attachment 867867View attachment 867868
Naona bado hujaelewa kituUshabiki utakuuwa wew kumlinganisha legendary na ngosha
Ok anascore sawa haya tuzo gan ya EPL ambayo anayo mpaka sasa ??? Didie anatuzo za kutosha za EPL uje umlinganishe nd huyo nyumbu
Nani kacheza mpira? Umezungumzia kuutafuta kwa toch shorts on target ni zile ambazo dembele alikuwa akipiga chenga karibia na box anatoa boko mnamoigia kipa wao si mmetengeneza nafasi kaangalie tena marudio najua utahamaki sanaMe nilijua unajua mpira kumbe hujui kabisa sasa mtu anamiliki mpira afu anazidiwa short on target khaa sasa nini lengo la kumiliki mpira braza
Acha bc!!!!! Yaan spurs tumemshambulia sana na ndio maana umiliki wao wa mpira ulimkua hauna madhara kwetu
Now tunaangalia mashambulizi tu
Sasa kama haushambulii faida yake nini
So lukaku ana tuzo gan sasaNaona bado hujaelewa kitu
Kuna takwimu salah alivunja ya christiano ronaldo goli nyingi ndani ya epl ktk msimu mmoja hapo walikuwa wanazungumzia tuzo au makombe wengine mpira mmevamia kipind ronaldo anaweka hiyo rekod alizoa tuzo zote na makombe salah kafanya hivyo? Tuliza akili sana ktk baadhi ya mijadala kwa kukusaidia isiumbuke tena.
Hvi unajua maana ya short on goal au short on target ???Nani kacheza mpira? Umezungumzia kuutafuta kwa toch shorts on target ni zile ambazo dembele alikuwa akipiga chenga karibia na box anatoa boko mnamoigia kipa wao si mmetengeneza nafasi kaangalie tena marudio najua utahamaki sana