Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Ukifwatilia vizuri interview za pogba utagundua kuna moshi unafuka pale OT...Kwani ana ugomvi na kocha?
Ukifwatilia vizuri interview za pogba utagundua kuna moshi unafuka pale OT...Kwani ana ugomvi na kocha?
Mkuu haya ya kubadili namba ndo yanatuponza watu wanatakiwa kucheza sehemu zao sahihi wakina rashford wameanza kuwa magoigoi angalia mechi alizocheza shaw tulivyokuwa tunatakata.Kumbuka hata valencia alikua namba 7...ila kwa sasa ni namba 2 tegemezi.. Ningekua mou ningemjenga perreira awe namba 6 na ameonyesha anaeza akipewa nafasi...
Leo ndio nimejua kwamba Smalling akienda Chelsea morata na Oliver watasugua sana bench.

Kuongea ni tabia ya mtu tu mkuuUkifwatilia vizuri interview za pogba utagundua kuna moshi unafuka pale OT...
Matic ndo ana red kwa hiyo tarajia pereira, felain au herera kuchukua nafasi...Mkuu haya ya kubadili namba ndo yanatuponza watu wanatakiwa kucheza sehemu zao sahihi wakina rashford wameanza kuwa magoigoi angalia mechi alizocheza shaw tulivyokuwa tunatakata.
Kwa matatizo ya defense, naona jamaa kaamua kuchezesha three central midfelders.Matic ndo ana red kwa hiyo tarajia pereira, felain au herera kuchukua nafasi...
Kwani mkuu nyie manure mnataka kombe gani msimu huu?Leo Kwa Mara Ya Kwanza Naiangalia Hii Timu Daah Tumebadilika Sana Kiuchezaji Tukiendelea Ivi Kuna Kikombe Tutaweka Kabatini Na Hawa Watford Hawana Maajabu Yoyote Hata Kama Watashinda Izo Mechi Zao Nne Sijui Walipataje Ushindi
Hahahaha natumaini hukuwa serious mkuu.Leo ndio nimejua kwamba Smalling akienda Chelsea morata na Oliver watasugua sana bench.
Unalonywea majiKwani mkuu nyie manure mnataka kombe gani msimu huu?
Usipende kujibu jibu ovyo.Unalonywea maji
Munure ni nini?? vile akili yako inataka ndivyo tunavyokupeleka ukija kwa nidhamu utaheshimika ukija kihuni utajibiwa kihuni jifunz adabu kama wakina mentor na aden + southern highlandUsipende kujibu jibu ovyo.
Naona stress sana mkuu!! Kanywe juisi ya pilipili nakuja kulipa.Kwani mkuu nyie manure mnataka kombe gani msimu huu?
His Excellency, Field Marshal marouanne fellaini, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in european in General and belgium in Particular.
View attachment 867700
Ila all in all jana tulipiga mpira mzuri kama desturi ya man u.fella alifanya kitu .timu inaonyesha kitu now.carrick atakua mtu muhim sana kwny tim maana nadhani toka ameanza kua hapo kwny bench mambo yameanza kuwa kama tunavopendaHis Excellency, Field Marshal marouanne fellaini, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in european in General and belgium in Particular.
View attachment 867700
Uchsmbuzi bora mnoTimu ina improve hasa baada ya kudeploy viungo watatu wa kati mmoja akiwa anacheza dip.
Tukipata defense nzuri maana yake tutamwona Fred akipata nafasi. Kuchezesha Fred na Pogba juu ya Matic, Matic anaelemewa, mid inapwaya na defense inakuwa exposed!!
Lakini bado naona Fred ana nafasi ya kuwa ana altenate na Lingard au Sanches. Siyo physical sana lakini has more of football intelligency than the pair.
Hayo masifa sio a nchi hiiHis Excellency, Field Marshal marouanne fellaini, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in european in General and belgium in Particular.
View attachment 867700

