Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unataka adabu gani mkuu? Kwani nilichokosea kuandika apo ni nini Manure!? Ndo icho ulichoona? Ujaelewa popote? Acha kujitoa ufahamu mkuu. Bado una stress za kufungwa na Tottenham.
Kumbe nilikujibu sahihi wakat unajua nna stres sasa povu lilikuwa la nini?
 
haters wa Lukaku njooni! hapa hazard ana goal la penalty na akiongeza umakini kidogo Lukaku ni hatari sana
IMG_20180917_122515.jpg
 
Hii sio MUFC ninayoijua,tumeshinda lakini hii ni aibu.

Nimekumbuka ile fainali ya UCL ya Chelsea na Bayern Munich.

Tunajilinda vile dhidi ya Watford kweli?? Unacheza na Watford roho unaishikilia mkononi?

Unaongea hivyo ukisahau kuwa kwenye ile mechi kuna dogo wa Watford anaitwa Doucure alikuwa akiorganize na kucoordinate mashambulizi vizuri pamoja na jamaa wao mmoja alikuwa amevaa jezi namba 37
 
Nimemtazama sana Fellain kwenye game 2, amekuwa akiwa cover sana back four yetu.
Hasa wakati Wa kusaidia kukaba sehemu ya nyuma. Jose anapaswa kumuamini na walau sasa kuwe na first 11 ya kudumu. Hii itasaidia wachezaji kujiamini muda wote.
Fellain ndiye aliye muanlock Pog6 na kuwa kwenye majukumu ya Free role.
Huku akisaidia zaidi kupiga pasi za mwisho katika kushambulia.
4-3-3
Itatufaa zaidi kuliko mfumo wowote ulimwenguni hasa kwa aina ya wachezaji.
Cha mwisho Inaaminika Jose aliwatuma wachezaji wakaucheze mpira zaidi kuliko mbinu zake.
Haikuwa kazi rahisi kwa Watford hii iliyo kwenye fomu kuifunga ikiwa nyumbani.
 
Talk me to me about Alexis. Been at United for around 8 months and scored 3 goals in 23 games. No international breaks with Chile and a full pre-season to focus on United. He’s been awful for his standards & for someone who’s on £350k per week. Embarrassing
 
Mind your own business
 
Unajua majukwaa kama haya yanafurahisa sana..unakuta mtu anaongea pumba typical lakini akikosolewa anamind..akihisi yuko ryt kabisa!! Raha sana jmn..
GGMU!!
 
Unaongea hivyo ukisahau kuwa kwenye ile mechi kuna dogo wa Watford anaitwa Doucure alikuwa akiorganize na kucoordinate mashambulizi vizuri pamoja na jamaa wao mmoja alikuwa amevaa jezi namba 37
Kwa hyo ndo tulipaswa kurudisha timu nyuma kiasi kile? Kuna kurudi nyuma kwa ajili ya kujipanga siyo kukaa mazima hadi watu wakapata goli
 
Mimi siyo shabiki wenu. Ila nakwambia ukweli hakuna msimu Lukaku kamaliza hajafisha magoli 20 na kuendelea. Sijawahi kuna na shaka Lukaku.
Unapomuhukumu mshambuliaji,ili kujua ubora wake angalia goli anazofunga na anazokosa pia. Lukaku pamoja na hayo yote huwa anakosa magoli mengi tena ya wazi sana
 
Wakuu mimi leo nataka nichangie kuhusu Pogba.
Pogba hana mbadala Man u,na ni moja ya project kubwa ambayo ilifanywa na grazers ili kuludisha heshima ya timu.

Pogba alisakamwa sana kuhusu kiwango chake na ndio sababu sasa hivi amepata kwa kujiliwadha ambapo ni kubeba world cup.
Yeye na Raiola wanajaribu kucheza na vyombo vya habari,lakini ukweli pogba aendi kokote.

Kuna wachezaji man u hawauzwi kwa pesa yeyote

De gea
Pogba
Martial
Rashford
Shaw
Lukaku

Man u tumeshajifunza kwa Pogba na ndio sababu makinda wote sasahivi tunawauza kwa kipengele cha kuwanunua tena.
De pay
Januzaj.

Man u tukiamua kumzuia mchezaji yeyote asiondoke,hawezi kutushinda mfano De gea.

Tupo kwenye kipindi cha mpito kuvumiliana ni wajibu kwa sasa,atutaki habari za AC Milan zitukute.
 
Mimi na wewe ni nani aliye ongea povu? Mimi nmeuliza swali na badala ya kujib unaanza leta majibu za kipemba. Msimu ulitarajia makubwa sana lakini unaona upepo unaelekea kusini na ulitegemea ue nde kaskazin ..sasa ndo maan umekuwa ukiongea ongea tu
Kumbe nilikujibu sahihi wakat unajua nna stres sasa povu lilikuwa la nini?
 
Naomba niletee na rekodi za ukosaji magoli na za misimu ya nyuma akiwa Everton
Moja ya takwimu zake toka aanze EPL hadi sasa ni hivi:-

Appearances-225

Goals-105

Big chances missed-75

Shorts- 641

Shorts on target- 293

Short accuracy-46%

Kwa Mimi timu kubwa kama Man United kumtegemea mtu mwenye short accuracy ya asilimia 46 ina ukakasi asee. Na takwimu hizi ni za Premier League wenyewe siyo Mimi.
 
Mimi na wewe ni nani aliye ongea povu? Mimi nmeuliza swali na badala ya kujib unaanza leta majibu za kipemba. Msimu ulitarajia makubwa sana lakini unaona upepo unaelekea kusini na ulitegemea ue nde kaskazin ..sasa ndo maan umekuwa ukiongea ongea tu
Jibu si ulilipata kombe unalonywea maji wewe hayo si ndo matarajio yetu au uliuliza swali ukiwa na majibu yako mfukoni kwa hiyo usitupangie cha kujibu
 
Back
Top Bottom