Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

40584438_10156922862328598_926975421331800064_n.jpg
 
An anti-Ed Woodward plane banner flying over Turf Moor...

Thoughts, Man Utd fans?
40621979_10156921034218598_5380193729405517824_n.jpg
 
Manchester United's target? Win the league? European success?

No, something a bit more pressing...
40619894_10156920431758598_6083343200758530048_n.jpg
 
mada yangu ilibase hapo tu kama ulinielewa vizuri sijasema kuhusu mfumo, match fitness au morale nimesema clear chances na hakuna kocha anaefundisha kufunga
Mkuu, kuna striker asiyekosa clear chances? Same to Messi, Ronaldo et al.
Sema kwa Man U tumevurugwa na mwanzo mbovu wa msimu. Mimi ni mtizamaji tu wa kawaida, sijawah ingia dimbani ila kwa Lukaku inaweza kutokea kwa striker yeyote yule. Even kwa Mo ile game tulishinda 2 1 alizingua pia kwa kukosa open chances!
Lukaku ndio striker wetu, Mouh ndio anajua cha kumfanya si sisi watu wa behind screens, keyboards etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YES wanakosa je kwa kiasi gani??? sawa na Lukaku?? ungeangalia hii mada ilipoanzia usingeniuliza hivi sababu nilishasema mkuu
 
mada yangu ilibase hapo tu kama ulinielewa vizuri sijasema kuhusu mfumo, match fitness au morale nimesema clear chances na hakuna kocha anaefundisha kufunga

Ni vigumu kukwepa kuongelea Mfumo katika magoli anayokosa, kimsingi Lukaku ni Finisher hawezi kufanya Mbwembwe zozote zaidi ya kufunga. Ni mchezaji anayetakiwa kutulia ndani ya 18 na kulishwa mipira amalizie kazi ambayo anaimudu vizuri (Refer magoli mengi anayofunga akiwa timu ya Taifa na hata Man Utd). Magoli mengi anayokosa hata ukiangalia vizuri magoli aliyokosa mechi iliyopita ni yale ambaye anakuwa ametoka kukimbia umbali mrefu hadi kufika golini hivyo pumzi inakuwa imeshamuishia na anashindwa kufanya maamuzi ya haraka
 
Hivi kwanini tufikiri kwamba tatizo la Man utd ni Lukaku?
 
Kieran McKenna na Michael Carrick ni sababu ya United kucheza hivi inavyocheza sasa??? je uwepo wa Rui Faria ulichangia kwa kiasi kikubwa Mourinho kupark bus??

hii ni mechi ya nne sasa tangu ligi ianze na uchezaji wa Man United umebadilika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na msimu uliyopita.
hebu check hii
8 shots against Leicester City
9 shots against Brighton & Hove Albion
23 shots against Tottenham Hotspur
21 shots against Burnley

binafsi najiuliza mabadiliko haya ya uchezaji ni kwa sababu ya ushauri mpya kutoka kwa watu wapya na ndiyo maana JM alihitaji center back kwa sababu alijua atakuja kwa style mpya ilikucover mashimo??

hebu tuone, wakati utaongea

LUKE SHAW anachoma kama moto
 
Lingard nae aliwaka sana ile match

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rui faria yupo wapi kwani
ila nafasi ya lukaku natamani angekuwepo mnyama ruud van magoli
 
" Mourinho alikuwa sahihi "

Luke Shaw amekiri kwamba Jose Mourinho alikuwa sahihi kumkosoa hadharani na kusisitiza kwamba kocha wake ndio amekuwa msaada mkubwa kwa yeye kurejea katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza.

Katika misimu miwili ya kwanza ya Mourinho , Shaw alikuwa na wakati mgumu sana wa kupata nafasi katika kikosi cha United , hata hivyo msimu huu ameonesha kiwango cha juu sana na ameulizwa kuhusu ukusoaji wa Mourinho dhidi yake.

" Nafikiri alichukizwa sana na mimi kwasababu alikuwa anajua kwamba naweza kucheza vizuri zaidi kwa kiwango cha juu . Nikianza kuangalia nyuma sasa hivi, nafikiri alikuwa sahihi."

"Ilikuwa miaka kadhaa migumu, lakini imenifanya kuwa imara. Nilitaka kumuonesha kwamba naweza kufanya kile alichokuwa anahisi siwezi kukifanya ."

" Nilikuwa na mazungumzo na kocha kabla ya msimu kuanza na aliniambia kwamba anataka nibaki klabuni. Nimeshapevuka, unaweza kusema kwamba nimetoka kwenye utoto na kuhamia kwenye utu uzima. Najua nini cha kufanya kujisukuma mwenyewe. Nataka kubaki Manchester United na kuonesha thamani yangu. Namshukuru kocha kwa kuniamini."
 
Back
Top Bottom