radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Tumekuamini mgangaHii mechi hamshindi trust me
Tumekuamini mgangaHii mechi hamshindi trust me
Hahahab mpo nafasi ya ngapi
Mkuu pale alipokuwa akicheza fellain ni sehem ya bek zoefu amini nakwambia mapendekezo ya kocha yangezingatiwa kwa sasa timu ingekuwa vizur sanaJamaa yupo vizuri.
Ile sub wakat anatoka sanchez nilishangaa sana
Mou sijui kwanini alimtoa Sanchez.
Rashford anavimba anapotea lingard anazid kuimarika
Halafu kuna watu wanakwambia yule kocha apewe united kisa mpira wa pasi leo tumeshinda wanalala mbele tukifungwa mourinho mbaya
Spurs kachezea kipigo huko.
Mkuu Radika salamaTumekuamini mganga
Hawa 'the hornet's sio wazuri, hope tutakuwa timu ya kwanza kuwafunga msimu huu.
Spurs kachezea kipigo huko.
Salama mkuu upoMkuu Radika salama



GGMUHONGERA ZETU.
Majirani nimeamua nijipongeze mwenyew maana haiwezekani mpaka sasa hivi hamuonekani kwenye huu Uzi.
Mnapenda misiba tuu mnywe chai na mandazi.? Leo huku hapaliki.
Full time tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo....... Hongera kwa ushindiSalama mkuu upo
Asante mkuu mdogo mdogo tuNipo....... Hongera kwa ushindi
Rashford kalewa sifa na kupewa ile jez namba kumo ndo kapotea kabisa alitakiwa abaki na 19 tuHuyu sijui masifa aliyokuwa anapewa yamemuelemea? Naona Lingard tangu kule Urusi amekuwa kitu kingine kabisa.