kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
Fact nilimuona mech na ac milan alifanya poa japo tulizuia sana
Kinolchoumiza zaidiKitu pekee ninachompendea Sanchez ni kujiamini kwake,ana uwezo wa kuwapiga chenga mabeki. Hii itasumbua mabeki na kuwafanya wamchezee rafu.
Ila tukiendelea na Lukaku,kazi itakuwa ngumu.
Wamesajili piaHayuko sahihi, kwa aksi na mabadiliko yanayotokea kwenye ligi za ulaya hasa Uingereza kwa sasa kila ligi ni mpya na inahitaji kujiimarisha zaidi na kujiimarisha kwenyewe ni kununua wachezaji watakaoendana na ligi ya sasa hivi. Usipofanya hivyo wenzako watakuacha 10-13 au hata kushuka daraja. Mancity mwaka huu wako vizuri kama mwaka jana lakini kwa sababu ya timu zingine kujiimarisha hasa Liverpool utashangaaa Mancity wakishindwa kutetea ubingwa ilihali wana timu nzuri lakini ni ya mwaka jana.
Kinolchoumiza zaidi
Tazama wapinzani wetu wanavyobadili falsafa zao.
Asernal hao wanaingia kwenye industry ya modern football
(Pressing styles) falsafa inayomjambisha mpinzani wako dakika zote za mpambano.
Tuna magic Magic, Fred, Super Herrera,
Una Pogba, unahitaji nini zaidi hapo zaidi ya kuwasikiliza wachezaji na kuhamia walau kwenye soka la kisasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi sana mkuu.Juma 3 licha ya kupoteza, mimi nnaamini tulicheza mpira tunaopaswa kucheza kila siku kukiwa na narekebisho kwenye marking na finishing. Tungeshinda sisi tatu lakini kwa mchezo ule wa kudefend, tungepondwa kuliko hata tunavypondwa sasa.
Inabidi itafutwe namanHerera anaweza kuwa-accommodated kwenye midield, tutamwona Fred na Pogba wanaotisha km mvua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilevya juzi inadeserve kuwaMechi ya juzi ilinipa matumaini zaidi manake timu ilicheza vema kwa kiasi kikubwa sana japo tukaishia kufungwa. Napendekeza mfumo ule uendelee kutumika timu yetu itatisha,japo centre defenders ni kizungumkuti. Na tatizo lingine kocha tangu achukue ile timu ni kama hana first 11 anayoiamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mou amefeli kuunda kikosi cha kwanza man utd.... Hili ni tatizo kubwa sana.Ndio maana nashangaa wanaosema Mou hajapewa wachezaji,sijui ni wachezaji gani hao?
Ukizungumzia mabeki wa kati,namlaumu kocha kwa kushindwa kuwatengeneza wakaelewana.
Leo unamchezesha Rojo na smalling,kesho Eric na smalling,kesho Victor na smalling..ni lini watatengeneza partnership kama ile ya Nemanja na Rio?
Mou amefeli kuunda kikosi cha kwanza man utd.... Hili ni tatizo kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi yani timu haina world class players, yani ukimtoa De Gea hakuna mchezaji mwingne anayepata namba man city au barca au madrid. Wachezaj wa kawaida sana alafu Mourinho sio type ya wachezaji hao Mou anataka wachezaji ambao tayar wamekwiva yy ndo anawatumia kwa muda Mfupi. Kikosi hiki angekuwa babu Fergie hii utd ingechukua hadi Uefa yule mzee alikuwa anawapa aana morali wachezaji na wote kuonekana ni kitu kimoja na wanaweza kupiga kazi.Mourinho akiondoka unafikir ndo kufanikiwa kwa manchester?
Kabla ya mourinho wamepita wakina nani?
Timu ina jina kubwa lakin tunawachezaj wa kawaida
Unasema moja? Hata tano anaweza asiitumie hata moja!Mkuu kwa kumuacha lukaku mbele tutaumia sana kama nafasi moja hawez kutumia inakuwaje?
So were Nottingham Forest, LiverpoolBrand ya uingereza ile
Siyo kweliUpo sahihi yani timu haina world class players, yani ukimtoa De Gea hakuna mchezaji mwingne anayepata namba man city au barca au madrid. Wachezaj wa kawaida sana alafu Mourinho sio type ya wachezaji hao Mou anataka wachezaji ambao tayar wamekwiva yy ndo anawatumia kwa muda Mfupi. Kikosi hiki angekuwa babu Fergie hii utd ingechukua hadi Uefa yule mzee alikuwa anawapa aana morali wachezaji na wote kuonekana ni kitu kimoja na wanaweza kupiga kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie huo UKWELI unao ujua wewe!
Asante mkuu. Yaani ndiyo nafufukaPoleni sana cute b radika ngariba na ice man na man u yenu mbovu
Kwa mifumo ya mourinho mtapata tabu sana
Naona kampen ya toa mourinho old traford imeanza
E&K
pole sana cute bMzee Furgie alikuwa na wachezaji hovyo kuliko hata hawa wa Mo lakini alikuwa akiunganisha ubingwa kwa ubingwa wa EPL na yale makombe madogo