Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Woodward yuko sahihi sana na man U ina team nzuri kuliko hata Liverpool au Man city tatizo lililopo in Mourinho kushindwa kutumia silaha alizonazo na kuguzwa incapacity yake kuwa kigezo cha kulalamika hajafanya usajili wa maana.Hayuko sahihi, kwa aksi na mabadiliko yanayotokea kwenye ligi za ulaya hasa Uingereza kwa sasa kila ligi ni mpya na inahitaji kujiimarisha zaidi na kujiimarisha kwenyewe ni kununua wachezaji watakaoendana na ligi ya sasa hivi. Usipofanya hivyo wenzako watakuacha 10-13 au hata kushuka daraja. Mancity mwaka huu wako vizuri kama mwaka jana lakini kwa sababu ya timu zingine kujiimarisha hasa Liverpool utashangaaa Mancity wakishindwa kutetea ubingwa ilihali wana timu nzuri lakini ni ya mwaka jana.
Central defenders anao watano.
Fullbacks wanne
Midfielder kama nane hivi kwenye
Strikers kama watano
Unataka woodward aendelee kutoa hela kununua wachezaji ?
Mourinho always anaquarrel na wachezaji badala ya kuwapandishia morali tu yeye anawasimanga huoni kuwa tatizo ni yeye ?
Watu wanadhani woodward ndiyo anayemfelisha Mourinho lakini ukweli ni kwamba Mourinho ndiyo anayemfelisha woodward.na woodward atamdhalilisha sana Mourinho akiendelea kupokea vipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app