Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tumecheza vizuri first half sema timu haitengeznezi nafasi

Sent from my SM-G928C using Tapatalk
 
Baada ya kumaliza msimu uliopita bila kuwa na first 11 inayoeleweka unafikiri kuna kocha hapo?


Hapo sasa, Manchester Utd ina wachezaji wa calibre ya Juu kwa mfano kwenye eneo kama namba Tisa sidhani kama kuna Timu Ulaya inaweza kuwa imesheheni namba tisa wa kila aina ; Old Traford kuna Lukaku, Rashford na Martial.

Kuhusu Regular XI kweli ule ni ubabaishaji
 
Sasa ninamtaka Yule mpuliza zumari wa Mourinho ( Radika,) na genge lake la wahuni wa tandika, yombo, Manzese, keko na Ubungo waje hapa kumtetea muhuni mwenzao Mourinho.


Ninawasubiri sana kwa hamu.


GGMU To United Royalists Except Mou ....




Hakuna kocha wa hovyo duniani kama Mou aheri King kibadeni "Mputa".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom