Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo kubwa la Lukaku hana mnyumbuliko na skills za ziada kuwapiku mabeki.
Tulihitaji striker wenye Kariba ya Cavan, Sadio Mane au Aguero.
Tuna safari ndefu kiasi kufikia mafanikio licha ya kuwa nanwachezaji wazuri sehemu ya kati,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Sanchez unamuweka wapi, bonge la striker, powerful, ana shabaha, pale hatumiki tu!
 
Juma 3 licha ya kupoteza, mimi nnaamini tulicheza mpira tunaopaswa kucheza kila siku kukiwa na narekebisho kwenye marking na finishing. Tungeshinda sisi tatu lakini kwa mchezo ule wa kudefend, tungepondwa kuliko hata tunavypondwa sasa.

Inabidi itafutwe namanHerera anaweza kuwa-accommodated kwenye midield, tutamwona Fred na Pogba wanaotisha km mvua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuangalia review play ya ile game, mabeki wa Man wakiendelea hivi wasubiri makapu ya magoli. marking na aggressiveness ya kuokoa mipira ilikuwa very very poor
 
Mech ya spurs tungekuwa na striker makin mech iliisha kipind cha kwanza
Lukaku ni mzuri sana, tatizo la mashabiki wa Man U mnamfananisha mchezaji na mchezaji. Angalieni upande wa pili wa Lukaku, so powerful, anacheza dakika zote, yuko na shabaha akipewa pasi nzuri. Tatizo pale ni wanaotakiwa kutoa mipira hawafanyi vizuri kazi yao.
Ushauri, Pogba akiuzwa Man U watakuwa wazuri sana kwani kocha na wachezaji wenzake wana expectation kubwa kutoka kwa Pogba ambayo kwa kweli haitimizi kabisa. Masifa na mbwembnwe nyingi akiwa na mpira zinamfanya awe na analoose mipira mara kwa mara
 
Support ya Giggs sidhani kama inaweza kumbakisha kama atapoteza tena mechi dhidi ya Burnley mkuu.
Hata body bado inamtaka MO, washabiki walio wengi bado wana imani na MO. Ni hapa JF tu ndio wanamuona MO hafai
 
Lukaku ni mzuri sana, tatizo la mashabiki wa Man U mnamfananisha mchezaji na mchezaji. Angalieni upande wa pili wa Lukaku, so powerful, anacheza dakika zote, yuko na shabaha akipewa pasi nzuri. Tatizo pale ni wanaotakiwa kutoa mipira hawafanyi vizuri kazi yao.
Ushauri, Pogba akiuzwa Man U watakuwa wazuri sana kwani kocha na wachezaji wenzake wana expectation kubwa kutoka kwa Pogba ambayo kwa kweli haitimizi kabisa. Masifa na mbwembnwe nyingi akiwa na mpira zinamfanya awe na analoose mipira mara kwa mara

Auzwe Pogba? Sidhani Kama Kuna Kocha Mwenye Akili Timamu Anaweza Kumuuza Mchezaji Aina Ya Pogba.
 
Auzwe Pogba? Sidhani Kama Kuna Kocha Mwenye Akili Timamu Anaweza Kumuuza Mchezaji Aina Ya Pogba.
Pogba ana attitude mbaya ambayo haitamletea mafanikio pale Old Traford has tangu Sanchez anunuliwa na kulipwa mshahara mkubwa kuliko yeye
 
Pogba ana attitude mbaya ambayo haitamletea mafanikio pale Old Traford has tangu Sanchez anunuliwa na kulipwa mshahara mkubwa kuliko yeye

Tatizo lipo Kwenye Dressing Room! Ni kwamba Mourinho Kalose Control.
Siku atakayoondoka Mourinho na Akapatikana New Coach amabaye Ataidhibiti Dressing room, basis Pogba atarudi upya.
 
Japo sio mshabiki wa Man United Ila jamaa amenishtua alivyowataja akina Sanchez,Lukaku,Mata,Matic,Pogba,De Gea ni wachezaji wa kawaida tu ukilinganisha na wa Man City.
Hawa ni wachezaji wa kiwango cha juu kama wa Man City tu na zaidi wanaweza wakawapita pia.

Hivi Ukiunda combined Timu ya Man City/United mbona wachezaji Wengi watatoka United? Kubalini tu Mourinho hana mbinu za kuipa United Makombe.

Hebu angalia Pogba akicheza Ufaransa na alivyokua Juventus..Leo Mourinho anamuona hana kiwango.
Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichobaki ni kuomba Burnley watufunge bao za kutosha huyu Kocha aache kutusumbua na Ujinga wake.

"Mou sitamkubali sijawahi kumkubali hadi afe au nife mimi"
 
image.jpg
 
Kweli hii walikuwepo siku ya j3 ???
 
Attachments

  • IMG-20180830-WA0024.jpg
    IMG-20180830-WA0024.jpg
    41 KB · Views: 38
Martial 'one of four untouchables'

Anthony Martial is one of four players Ed Woodward will ‘never sell during his time at United’, according to reports.

The Telegraph suggest the France forward’s position at the club is safe and that the 22-year-old remains in the long-term interest of United.

Martial is joined on the four-man shortlist along with Luke Shaw, Marcus Rashford and Jesse Lingard who are also untouchables at the club.

Interestingly there is no mention of Paul Pogba, Romelu Lukaku or David de Gea in the report.
 
So were Nottingham Forest, Liverpool
Hawatak kufanya makosa kama walivyofanya kwenye hizo timu hadi waliziacha zikaanza kuyumba liverpool anarudi.

Jana Nottingham forest kampa za kutosha newcastle ni timu ambayo ikirud mjipange mlishapigwa chuma nne akiwa kulekule championship mwaka jana.
 
Tatizo lipo Kwenye Dressing Room! Ni kwamba Mourinho Kalose Control.
Siku atakayoondoka Mourinho na Akapatikana New Coach amabaye Ataidhibiti Dressing room, basis Pogba atarudi upya.
Wala tatizo sio hilo, tatizo ni malipo ya Sanchez tu. Hata akitoka Mo, Pogba hataridhika mpaka auzwe ili akalipwe mshahara anaoutaka
 
Back
Top Bottom