Felsic
Senior Member
- Jul 14, 2014
- 180
- 354
PumbaUkiacha na zile mbeleko za Web, Manchester haijawahi kuwa timu bora, ni porojo tu na kelele za mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
PumbaUkiacha na zile mbeleko za Web, Manchester haijawahi kuwa timu bora, ni porojo tu na kelele za mashabiki
Ffs!! Unaota wewe!Umekariri sana,na upo ktk delussional mode ya Mzee Ferguson
Ninachukua ama EPL au CL au vyote viwili msimu huu
Kipa mzuri,midogo imetulia,beki imara na foward bora Ulaya kwa sasa nashindwaje kuchukua CL
Mbona arsenal ukifungwa hamlali.Media za soka duniani zinaipenda Manchester United kuliko timu zote. Manchester United kila wakifungwa attention yote inaelekezwa kwao badala ya timu iliyoifunga. It's as if media zinasononeka.
Dunia ina maajabu kwa kweli. Kwa kumfananisha Smalling na Wawa umepata likes kadhaa !!!!!!Dunia ina maajabu Paschal Wawa anacheza Simba .... Smalling anacheza Manchester haikubaliki
Nadhani haujaelewa nilichosema. Badala ya kuipongeza timu iliyoshinda, media zipo busy kusononekea kufungwa kwa Man Utd. Kuna timu zaidi ya Man Utd zilizofungwa this weekend.





Hakuna anayesononeka wanasononeka wenye timu mimi wana arsenal tuna furaha tele.Nadhani haujaelewa nilichosema. Badala ya kuipongeza timu iliyoshinda, media zipo busy kusononekea kufungwa kwa Man Utd. Kuna timu zaidi ya Man Utd zilizofungwa this weekend.
Brand kubwa kuliko zoteMedia za soka duniani zinaipenda Manchester United kuliko timu zote. Manchester United kila wakifungwa attention yote inaelekezwa kwao badala ya timu iliyoifunga. It's as if media zinasononeka.
Naona UNAJITAHIDI SANA KUTOMWELEWA JAMAA!Hakuna anayesononeka wanasononeka wenye timu mimi wana arsenal tuna furaha tele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Brand ya uingereza ileNadhani haujaelewa nilichosema. Badala ya kuipongeza timu iliyoshinda, media zipo busy kusononekea kufungwa kwa Man Utd. Kuna timu zaidi ya Man Utd zilizofungwa this weekend.
Transition period bayern kapitia toka 2002 had 2009 madrid pia hivyo alipitia barca kapitia timu zote giant toka zianze hazijawah kuwa na nguvu mwanzo mwisho kuna ku FALL AND RISE.Hii team yetu siyo Manchester united tena bali ni Mwanitesa United
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutavumilia tu ila isifikie extent ya Liverpool au arsenalTransion period bayern kapitia toka 2002 had 2009 madrid pia hivyo alipitia barca kapitia timu zote giant toka zianze hazijawah kuwa na nguvu mwanzo mwisho kuna ku FALL AND RISE.
Fact mkuu cha msingi bodi itambue majukumu yao vizur unamuongeza kocha mkataba kisha unamnyima pesa ya usajiri
Mimi naona Woodward yuko sahihi kwa investment waliyofanya misimu miwili iliyopita inatosha kabisa kinachotakiwa sasa ni kuona kama investment hiyo imelipa au lah.Fact mkuu cha msingi bodi itambue majukumu yao vizur unamuongeza kocha mkataba kisha unamnyima pesa ya usajiri
Lazima kuwe na watu wenye uzoef tunawachezaj wengu vijana tungepata bek mmoja mwenye uzoef kama tobby na msambuliaj mmoja ingekaa poa angalia city kuna company,silva fernandinho na kdb na aguero msimu uliopita tuliluwa wa pili hapo tulitakiwa kukaza tena kuboresha timu tumelala sisi tunajilinganisha timu anbazo tayar zina wachezaj wakomavu wa ligMimi naona Woodward yuko sahihi kwa investment waliyofanya misimu miwili iliyopita inatosha kabisa kinachotakiwa sasa ni kuona kama investment hiyo imelipa au lah.
Kocha hawezi akawa anaomba hela ya usajili kila musimu halafu usajili wenyewe haujibu ni hasara kwa team.
Kwa hili la usajili mimi namuona Woodward yuko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Rashidi kuli wa zamani hizo katika bandari ya dari salama (Mhusika mkuu katika Kitabu cha Kuli by Adam Shaffi) alisemaAsante, hakika yanapita.
Hayuko sahihi, kwa aksi na mabadiliko yanayotokea kwenye ligi za ulaya hasa Uingereza kwa sasa kila ligi ni mpya na inahitaji kujiimarisha zaidi na kujiimarisha kwenyewe ni kununua wachezaji watakaoendana na ligi ya sasa hivi. Usipofanya hivyo wenzako watakuacha 10-13 au hata kushuka daraja. Mancity mwaka huu wako vizuri kama mwaka jana lakini kwa sababu ya timu zingine kujiimarisha hasa Liverpool utashangaaa Mancity wakishindwa kutetea ubingwa ilihali wana timu nzuri lakini ni ya mwaka jana.Mimi naona Woodward yuko sahihi kwa investment waliyofanya misimu miwili iliyopita inatosha kabisa kinachotakiwa sasa ni kuona kama investment hiyo imelipa au lah.
Kocha hawezi akawa anaomba hela ya usajili kila musimu halafu usajili wenyewe haujibu ni hasara kwa team.
Kwa hili la usajili mimi namuona Woodward yuko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app