MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Liver kwa sasa si wenzenu mmepishana mlangoni. Liver anatoka gerezani nyie mliyemfunga ndo mnaingia kwa arsenal ndo msiseme kabisa maana arsenal haijawahi kuishi maisha magumu mnayoishi kwa sasa.
Haijavunja rekodi ya kufukuza makocha kama mfanyavyo nyie wao wameachana na kocha wao wenger kwa sherehe kitu ambacho kwenu ni adimu.
Sent using Jamii Forums mobile app