ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,434
- 118,991
Msimu huu Mourinho ataitia aibu timu.Shukran nyingi bado hatupo vizuri khasa kipindi cha pili.
Msimu huu Mourinho ataitia aibu timu.Shukran nyingi bado hatupo vizuri khasa kipindi cha pili.
Huko kwetu fresh, vipi huku kwenu vipi??!Muungwana kwema? kipindi kirefu sana khabari za blues huko?
Kheri kiafya ila hapa jamvini mambo bado hayajawa mazuri kipindi cha kwanza ilileta matumaini mambo yakageuka walivyotoka vyumbani huyu luke mentality yake ya kushambulia basi ericksen akawa anazipenyeza upande wake ikawa balaa
Ila Ericksen ni hatari sijui kwanini huwa hatujifunzi.Kheri kiafya ila hapa jamvini mambo bado hayajawa mazuri kipindi cha kwanza ilileta matumaini mambo yakageuka walivyotoka vyumbani huyu luke mentality yake ya kushambulia basi ericksen akawa anazipenyeza upande wake ikawa balaa
Ukiacha na zile mbeleko za Web, Manchester haijawahi kuwa timu bora, ni porojo tu na kelele za mashabiki
Lukaku mmmhView attachment 849045
Tarehe kama ya Leo miaka saba iliyopita MTU alikula 8-2 DadeQ.
OldTraford was real Lit. View attachment 849118
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe kama ya Leo miaka saba iliyopita MTU alikula 8-2 DadeQ.
OldTraford was real Lit. View attachment 849118
Sent using Jamii Forums mobile app