Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimeumia sana na bado nawaza How
IMG-20180828-WA0013.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiangalia hiki kikosi kilichombamiza mtu nane,naona kabisa matatizo ya kiuongozi ndani ya timu yetu.


Mkuu unajua ukiyaangalia Haya Maneno ya Ed Woodward yanayosema “Playing performance doesn’t really have a meaningful impact on what we can do on the commercial size of the business,” watu wengi Wameyachukulia Poa na Kudhani Ni Maneno Yake Mwenyewe!!!

Hilo sio Kweli! Ed Ni Muajiriwa Hawezi Kusema Maneno Hayo Hata Siku Moja Mbele ya Waajiri Wake! Huyu yeye Kayawasilisha tu Kwa ajili ya Kukill tuhuma Za Mourinho! Kiukweli Hayo Ni Maneno Yanayotoka Kwa Familia ya Glaza ambao wapo Kibiashara zaidi.
 
Mimi Naamimi Kuna Jambo Haliposawa Kwa Mourinho! Ni kweli Hakosi la Kujibu ila Ni Vizuri aconcentrate kwenye Hoja zitokanazo na Maswali anayoulizwa. Kwakweli Majibu Ya Mourinho Kwenye Press Conference yamenifanya nizifuatilie Hizi Conferences zake.

Kinacho nishangaza Ni Kwanini Anapoulizwa Maswali Kuhusu Man United na Reporters Wa Man U yeye Katia Majibu Yake Hufanya Matatizo Ya Liverpool Kuwa Ndiyo Kigezo na Hija Yake Kubwa ya Utetezi??

Kwamfano alipoulizwa Mwenendo Wa Timu Yake alijibu "Watu Wananilaumu Mimi Niliyemaliza Nafasi ya Pili (Last Season) na Kumuona Bora Mtu (Klopp) ambaye Hajashinda Chochote".
Sasa Liverpool inahusu Nini Katika Press Zake Jamani? Mourinho huwa Hakosi Jibu Hata Kama lipo nje Ya Mada.
Na njia moja ya Kujitetea kwake Ni Kushambulia Bodi, Wachezaji na Makocha Wa Timu Nyengine.
ana tabia za kike.
 
Hatar sna lukaku hamna nmna ndo mcheaj wetu tena mkuu ukiwa na striker kwa mtindo huu ni ngumu sana kuwasumbua mabek wa timu pianzani sas wao watakuwa hawana kazi zaidi ya kuchukua mipira kwa lukaku ambapo haikai mbelr nakjanzisha mashambulizi kuja kwetu watu hawaoni umuhimu wa bek nzur tobby kachukua mipira mingi sana kwa lukaku.
Nashangaa lukaku anawezaje kucheza chini ya Mou ambaye alimuuza akiwa Chelsea. Lukaku alishindwa kujiongeza na kujua kuwa anaenda kucheza na kocha aliyemtimua?

Bora angekubali lile dili la kuja Chelsea, pengine leo asingekuws na presha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Maneno Haya Nimeyakuna Kuna Mshkaji Kayaandika Kayatweet: "Pogba had 3 defensive mids behind him and an attacking mid besides him. This is the most unlocked a human being can possibly be, and he has dropped a 4/10 again. This is his third season here, whoever still calls him world class, have some shame".
 
Back
Top Bottom