Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fullback ndio shida yenu, kocha kaomba usajili akakataliwa, haya ndio matokeo
Kocha hana shida
Style haina shida
Kipa hana shida
Viungo poa
Washambuliaji nao poa
Body ya usajili wamsikilize kocha
Mo akisikilizwa anajua kuunda timu ya ubingwa na ndio maana akiwa Che alipewa rungu zote
Hata huko Chelsea miaka yake mitatu na nusu ya kwanza alifukuzwa lakini miongoni mwa sababu za kufukuzwa ilikuwa ni bad playing style na kuitengenezea uadui Chelsea zaidi badala ya kuvutia watu kwa maneno yake machafu japo timu ilikuwa solid sana. Kama mnakumbuka hadi boss alimuajiri Scolari ili aje alete entertaining football japo nae alishindwa na kikubwa hakupewa muda Wa kuitengeneza hiyo timu ya kuburudisha na matokeo mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanaosema tatizo la Man U ni ukosefu Wa defenders wazuri,je viungo na washambuliaji wanacheza vema? Kama Sanchez alikuwa vizuri hadi yeye mou akamsajili ila amekuja pale kawa Wa kawaida,mkhtaryan hivo hivo, Pogba ndo anatia kichefuchefu, martial sahizi ni Wa kawaida sana hadi kawa mbovu,lukaku ndo yule anafichwa kwa mabeki watatu peke yake,Fred ndo huyu tunaemuona japo naamini yule jamaa ni mzuri ila kwa kiungo Wa ushambulizi zaidi, Herrera ndo Huyo kutoka kuwa captain to be hadi kuwa mchezaji maarufu wa benchini,sasa wanaamini vipi akija Varane au Ramos pale atacheza vema? Mfumo,mfumo,mfumo,mfumo Wa uchaji Wa timu ni mbovu sana hata aje nani atabadilishwa na kuwa mchezaji Wa kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wachambuzi wameshaanza kusema Mou hafiki xmass lazima atimuliwe.

Tupate kocha kama yule babu wa Bayern
Tulichemka kwa Klop tu,ule mfumo wake Wa uchezaji na Yale makeke yake pamoja na mihela ya Man U tungeburudika sana mana sahizi hata Angel Gomes angekuwa anatufurahisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United midfielder Paul Pogba's agent has hit out at Paul Scholes after the former player criticised his client, with the club's fans reacting to the outburst.
The Manchester United legend said Pogba 'lacked leadership' qualities and was 'inconsistent' in his displays, having had a 'poor game'. Super agent Mino Raiola though didn't take kindly to the assessment and hit back at Scholes, tweeting his displeasure at the eleven time Premier League winner.
Raiola described Scholes' comments as an attempt to stay relevant, with the former midfielder not having the capability to 'recognise a leader'. Manchester United fan Ian Sarginson was quick to respond to the tweet as he doubted Raiola's footballing knowledge.
Mino Raiola @MinoRaiola
Some people need to talk for of being forgotten. Paul Scho wouldn’t recognize a leader i was in front of Sir Winston Churchill. @paulpogba
9:30 AM - Aug 21, 2018
11.7K 11.1K people are tal

Ian Sarginson @Sargy7
Replying to @MinoRaiola paulp
Scholes was miles ahead of Pogba currently is. You say P
Scholes doesn't know leaders He played under Sir Alex and alongside Roy Keane. I hope advice you give your clients i better than your football knowledge.
2:26 PM - Aug 21, 2018

77 See Ian Sarginson's oth
Dave came out wholeheartedly in support of the former player, citing his 'better attitude' and loyalty towards the Red Devils.

Dave @DavidWa5004681
Replying to @MinoRaiola @paulpogba
Paul Scholes had a far better attitude compared to that sp brat Paul Pogba! Paul Schole was a fabulous midfielder! Don't care what anyone says Paul Scholes bleeds red! Paul Scholes is a Man United Legend! The winner screame of a goal against Barcelona! (Paul was a genius!)
11:38 AM - Aug 21, 2018

5 See Dave's other Tweets
Edwin Ambrose though took to Twitter war even further by saying Scholes has better hair than Pogba and is certainly someone who recognises leaders on the park.
Edwin Ambrose @AmbroseEdwin7
Replying to @MinoRaiola and 2 ot
Paul Scholes wouldnt recogni leader?you mean in the curr United side?nobody would.T dont exist.Scholes knows ple leaders.Played with and for a few.More importantly they w recognise him.Better hair tha your lad too
11:55 AM - Aug 21, 2018

2 See Edwin Ambrose's ot
Even rival fans came out in support, with Manchester City fan Levets rating the Englishman 'couple of levels above' the French star. Liverpool fan Mohammed Idris too showcased his support for towards their former tormentor.
Meanwhile, Melchizedek had a different viewpoint and took Raiola's side in the debate.
Levets @levetsmcfc
Replying to @MinoRaiola paulp
As a City fan, I would say Scholes was a couple of level above where Pogba is.
2:31 PM - Aug 21, 2018

14 See Levets's other Twe
mohammed idri @mohamme594149
Replying to @smtm_LFC and 2 ot
Scholes one of the best playe that generation. His opinion warrants attention imho. #Y
2:53 PM - Aug 21, 2018

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha unadhani malengo ya bodi ya man u ni kuhakikisha timu inanusa tu UEFA halafu inasepeshwa? Kuhusu LVG tatizo kubwa ilikuwa ni kutoshambulia hadi mashabiki walikuwa wanaimba Attack! Attack! Attack! Na tatizo hilo hilo limeendelea kwa kocha aliyechukua nafasi yake na sasa hali ndo mbaya zaidi kwa sababu timu haimiliki mpira,haina umoja,inashambulia kwa kuvizia karibia kwenye mechi zote hata tukicheza na hull city,hakuna muunganiko kati ya beki,viungo na washambuliaji na matumizi ya pesa ni makubwa zaidi.
Pia hakuna timu inayotaka kuendeshwa kihasara, Mou bodi ilimwambia haina haja ya kurundika wachezaji wengi anaoamini hawafai hivyo awe anawa offload kisha pesa anayopata ndipo aongezewe yeye hayo hafanyi anataka awe na rundo la wachezaji wanaokula mishahara ya bure tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua maana ya full backs? Nitajie full backs wawili wa manchester united. Tuanzie hapo kwanza
Mkuu ndugu kateleza kidogo ila hiyo haiondoi Hoja zake za msingi dhidi ya Mou. Lakini hata juzi magoli karibia yote yalitokana na ubovu Wa central backs ambao ni hao hao lindelof na Bailly, japo kuna lingine lilianzia kwa Fred.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mourinho bado yupo yupo..

Kocha Jose Mourinho bado anaungwa mkono ndani ya Manchester United licha ya kichapo cha 3-2 dhidi ya Brighton.

Matokeo na kiwango cha timu kimeibua maneno mengi dhidi ya kocha huyo wa Kireno.

Mourinho anapewa nafasi kubwa ya kuwa kocha wa kwanza kufukuzwa msimu huu ndani ya EPL , ambapo kocha wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane anapewa nafasi ya kuchukua mikoba yake.

Chanzo kutoka United kimesema," Kwanini tumzungumzie Zidane huku hakuna kazi ya kumpa ? "

Huku Ed Woodward bado anaamini Mourinho ana uwezo na uzoefu wa kuweza kubadilisha matokeo ya Man United kuwa chanya.
Naamini bodi hairidhiki na ufundishaji Wa Mourinho ila hawawezi kuongea hadharani kutokana na maadili ya kazi. Ngoja aendelee na ufundishaji huu huu Wa kujihami kwa kila timu na chokochoko zake na wachezaji uone kitakachotokea. Muda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujenga timu sio jambo dogo na si kwamba mourinho ni kocha mzuri hapana safari ni ndefu hata aje nani kuna ku RISE AND FALL cha msingi uvumilivu bodi kuvutana na kocha jambo baya sana hata kama alipoint wachezaj above 29 nani kaumia mashabik,bodi au kocha?

Pia kocha yoyote atakateuliwa na timu nitamsapot no matter what
Radika ujue unanifurahisha hivi Mou huyu tunaemjua ndo amekuwa Wa kujenga timu kwa misimu mitatu hadi minne? Lakini mbona timu inacheza vibaya sana hivi unapenda hii timu ilivyokuwa inacheza last season na inavyoendelea kucheza? Mimi nilijua kocha atabadili mbinu msimu huu ili tumpongeze ila ameganda na mbinu zilezile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba mzito
Fred mzito
Lukaku mzito


Timu inatoa wapi uwezo wa kushambulia kwa kasi mkuu.
Jamani huyu Fred siyo mzito na si mbovu kama watu wanavyoamini ila kwa juzi niliona alichezeshwa nyuma zaidi na huyu jamaa ni kiungo mshambulizi zaidi ndio huwa ni mzuri zaidi. Ni kama fellaini anavyoaminiwa kama namba sita,ila Mimi nijuavyo hata kule Everton jamaa alikuwa anatusumbua sana akicheza namba 10 na anakuwa mgumu kucheza nae. Kwa hiyo bado naamini mfumo Wa kocha utaiumiza sana hii timu na nyoyo zetu mashabiki Wa Man U siyo Mou,labda kama kocha atabadilisha mbinu na kuwapa Uhuru zaidi wachezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani huyu Fred siyo mzito na si mbovu kama watu wanavyoamini ila kwa juzi niliona alichezeshwa nyuma zaidi na huyu jamaa ni kiungo mshambulizi zaidi ndio huwa ni mzuri zaidi. Ni kama fellaini anavyoaminiwa kama namba sita,ila Mimi nijuavyo hata kule Everton jamaa alikuwa anatusumbua sana akicheza namba 10 na anakuwa mgumu kucheza nae. Kwa hiyo bado naamini mfumo Wa kocha utaiumiza sana hii timu na nyoyo zetu mashabiki Wa Man U siyo Mou,labda kama kocha atabadilisha mbinu na kuwapa Uhuru zaidi wachezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu,hao wote ni wachezaji wazuri tu.

Ila kikubwa ni hata tukibadili kocha basi tujue hatuna namba tisa wa kuaminika,Lukaku sio kabisa.
 
Mtu anaye sema Lukaku mzito huwa simwelewi na sitamwelewa kwa kasi aliyonayo lukaku inatosha kabisa kwa nafasi anayo cheza

Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku ni mzito na zaidi hawezi 'kukontro' mpira.

Huwezi kuwa na Lukaku halafu wenzako wana Sergio Aguero na Jesus halafu ukategemea kupambana nao. Wote hao ni washambulizi wa kuaminika,ukifanya makosa wanakuumiza.

Tunahitaji Van persie mpya katika timu yetu.
 
Mtu anaye sema Lukaku mzito huwa simwelewi na sitamwelewa kwa kasi aliyonayo lukaku inatosha kabisa kwa nafasi anayo cheza

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa first touch zinamsumbua sana,na kwa mshambuliaji kuwa na shida ktk umiliki Wa mpira hasa anapopokea mpira kwa Mara ya kwanza ni kitu tatizo sana kwa sababu defenders wako shapu sana hivyo unapopoteza mpira kidogo sana tayari umewapa faida. Kasi anayo ktk kukimbia ila kasi ya kufanya maamuzi kuna wakati ana tatizo sana so hilo ni tatizo lingine kubwa saaaana kwa mshambuliaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom