kulaumu ni kazi nyepesi sana...Sasa aje nani? Alikuja Moyes kisha Van Gaal wote hawakufanya la maana. Mtu amekaa miaka 2 lawama kibao. Kila siku nasema, hakuna kazi rahisi kama kulaumu.
kulaumu ni kazi nyepesi sana...Sasa aje nani? Alikuja Moyes kisha Van Gaal wote hawakufanya la maana. Mtu amekaa miaka 2 lawama kibao. Kila siku nasema, hakuna kazi rahisi kama kulaumu.
Ndio hivyo mkuukulaumu ni kazi nyepesi sana...
Poa nlikua nayo nika uninstall,hivi ipo play store?or Google?Download mobdro then fungua man u tv utaona
Msimu wetu kwenye nini sasa chief?Huu msimu ujao ni Wetu United. Go go go lads [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Namaanisha EPL tunachkuaMsimu wetu kwenye nini sasa chief?
EPL ipi iyo mnachukua? Na mkichukua mnapeleka wap?Namaanisha EPL tunachkua
Watachukua chelseaEPL ipi iyo mnachukua? Na mkichukua mnapeleka wap?
Liverpool wanavyuma sio mchezo yaaniWapendwa tujiandae kuwa na msimu mbaya zaidi..na naomba Huu uwe ni msimu wa mwisho wa Morinho
Tuleteeni hata babu ziizzou(ZIDANE) hapo OT jamani..
Majirani(Liverpool) wako vizuri kichizi na wana sababu zote za kubeba ndoo unless wafanye ujinga..
Yani unajua vitu vipo wazi na vinaonekana lkn nashangaa kwanini hawachukui hatua...!???Liverpool wanavyuma sio mchezo yaani
Shakir
Keita
Allison
Fabinho
Wote hao wameongezwa kwenye kikosi chao..
Tutegemee man united ileile tu kama mambo yatasalia hivi...haiwezekani Valencia ndo anabaki kuwa RB wetu namba moja,,haiwezekani smalling abaki kuwa beki kipenzi wa mourinho,,,haiwezekani lingard/mata ndo RW tulionao..
Ukiangalia quality depth ya timu ya liverpool kuilinganisha na ya kwetu ni vitu viwili tofauti kabisa..liverpool there are far better
Man united inakuwa a bunch of overrated players..darmian,smalling,fellain,jones,valencia(kashachoka)..


Namaanisha EPL tunachkua
okay acha niamini maneno yako ingawa timu imenichosha.
acha nigeuke kinyonga siku ya leo kwa kumtetea ed woodward lakini kesho nitakuja kumtetea mourinho.Tatizo sio mourinho kocha alikuwa na mapendekezo yake msimu ulioisha cha ajabu hakutimiziwa malengo yake tumeona moto wa perisic sasa hivi kataka mabek na viungo ona ed anavyomzungusha sasa kocha ana kosa gani?
Nimewahi sema humu na Ninarudia tena.acha nigeuke kinyonga siku ya leo kwa kumtetea ed woodward lakini kesho nitakuja kumtetea mourinho.
aigoooooo
gwenchanah gwenchanah
- wakati wa peter kenyon usajili mkubwa na wa gharama uliofanywa na manchester united ulikuwa ni usajili wa rio ferdinand kutoka leeds united kwa pound million 33.
- wakati wa utawala wa david gill biashara kubwa ya gharama aliyoifanya ilikuwa ni usajili wa dimitar berbatov kwa pound million 31.
- ed woodward ana matatizo yake lakini kwenye ishu ya kumwaga hela kwenye usajili anajitahidi sana japokuwa yupo kibiashara zaidi ila bahati mbaya wanaomuangusha ni makocha waliorithi timu kutoka kwa alexander ferguson. tusisahau edwoodward ndiye aliyekuwa mtendaji mkuu wa klabu wakati sir alex anamsajili robin van persie.
- achana na david moyes kutokuwa na ushawishi kwa wachezaji na hatimaye kuishia kumsajili fellaini na kuzidiwa kete na guardiola kwenye usajili wa alcantara. alipokuja van gaal woodward alifanikisha usajili wa wachezaji kama dimaria (54 million), darmian (14 million), blind (15 million), schneiderlin(26 million), martial(40 million), marcos rojo (17 million), sergio romero, victor valdes, luke show (27 million), mwisho wa msimu tuliishia hatua ya makundi kwenye ligi ya ulaya na kuishia nafasi ya 5 kwenye ligi kuu, kwa nini tumlaumu ed woodward?
- tukirudi kwa mourinho naye kisingizio chake kikubwa ni kuwa eti amerithi timu dhaifu zaidi ya timu aliyorithi mpinzani wake guardiola, inawezekana muna ukweli uliodhahiri ndani ya hoja yake lakini ed woodward kwenye soko la usajili alimpa msaada mkubwa sana, tunapaswa tukumbuke ya kwamba msimu wa mwanzo wa mourinho alisajili wachezaji kama vile eric bailly (pound million 25), mkhitaryan (pound million 26) na pia tulivunja rekodi kwa kumsajili paul pogba kutoka juventus.
- msimu uliopita alikubali kulipa pound million 75 kwa usajili wa lukaku, lindeloaf (30 million) na januari alifuta kosa lake la kushindwa kumsajili perisic baada ya kulipa pound million 30 kwa ajili ya sanchez. msimu huu tayari ameshalipa million 53 kwa ajili ya fred, sasa kwa nini tumlaumu ed woodward?
- timu aliyonayo mourinho ni kubwa zaidi ya kikosi cha manchester united kilichoshinda ubingwa kwa mara ya mwisho ila yeye ndio tatizo kwa sababu a meshindwa kutengeneza chemistry ya maana kwa wachezaji.
José on MUTV: "As always, I give my list of players I want to Mr. Woodward, and I wait to see what happens. Am I happy? I am not happy with many things, but I have not spoken to him as he is on his holidays.”
🙂😡😕😛😀😳🙄😵😕![]()
shikamooo woodward na nimeona tetesi zinasema mourinho anataka kuachana na timu.