Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,564
- 21,517
Achana na huyo Lofa Mkuu , jitu liko so rigid kama jiwe. Anashindwa kufikirisha kichwa chake na kung'amua mambo mpaka aweke "vitaarifa".
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyo Lofa Mkuu , jitu liko so rigid kama jiwe. Anashindwa kufikirisha kichwa chake na kung'amua mambo mpaka aweke "vitaarifa".
mkuu apa umeonfea point kbsaSioni kama center back ina tatizo sana kuliko full back. Mechi ya brighton kulikuwa na gape kubwa upande wa kulia kwa young (right back) na hicho ndicho kilisababisha kuonekana bailly kavuruga maana jamaa alikuwa anacover mpaka upande wa kulia anaacha gape katikati. Ukiangalia chanzo cha magoli yote matatu ni makosa yaliyofanyika upande wa kulia kwa young.
Yan hii timu inanitia hasira , tukiwa tunaattack tuko slow sana, hakuna creativity pale mbele, beki za timu pinzani wanarelax tuu.
,nimesoma huko the guardian jinsi beki wa Brighton wanavyosema, yani wanatuzarau sana, wanakuambia walishatusoma jinsi tunavyopenda kupoza mechi.
Mou asipobadili mbinu tutapata tabu sana, maana timu zitatukazia, kushinda itakuwa kwa bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa mkuu, kwenye suala la kushambulia napo ni tatizo. Lukaku kuna muda anaingia msitu haonekani kabisa kwa dakika nyingi, hagusi hata mpira achilia mbali kupiga shot on target. Hizo winger za kupiga cross ndo hamna kabisa. Dah yaani ukianza kuelezea deeply unaweza kukosoa kila position. Ngoja tuone labda kuna changes zitatokea maana benchi la ufundi linajua zaidi nini kinatakiwa kifanyike.Yan hii timu inanitia hasira , tukiwa tunaattack tuko slow sana, hakuna creativity pale mbele, beki za timu pinzani wanarelax tuu.
,nimesoma huko the guardian jinsi beki wa Brighton wanavyosema, yani wanatuzarau sana, wanakuambia walishatusoma jinsi tunavyopenda kupoza mechi.
Mou asipobadili mbinu tutapata tabu sana, maana timu zitatukazia, kushinda itakuwa kwa bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan hii timu inanitia hasira , tukiwa tunaattack tuko slow sana, hakuna creativity pale mbele, beki za timu pinzani wanarelax tuu.
,nimesoma huko the guardian jinsi beki wa Brighton wanavyosema, yani wanatuzarau sana, wanakuambia walishatusoma jinsi tunavyopenda kupoza mechi.
Mou asipobadili mbinu tutapata tabu sana, maana timu zitatukazia, kushinda itakuwa kwa bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba mzito
Fred mzito
Lukaku mzito
Timu inatoa wapi uwezo wa kushambulia kwa kasi mkuu.
Bila kumsahau MaticPogba mzito
Fred mzito
Lukaku mzito
Timu inatoa wapi uwezo wa kushambulia kwa kasi mkuu.
Huyo kijana angeuzwa tu,mana naona anataka kuwa Mkubwa zaidi ya Manchester United
Jamaa anacheza chini ya defence mbovu mbovu tu hana namnaSince the WC,Dea Gea has conceded 10 goals from just only 14 shots on target in all competitive matches!
Hii ina maana kuwa 72% ni chance ya kumfunga De Gea ili mradi tu unyooshe golini
Ehehehe yajayo pale Liverpool yanafurahisha jamani
Kwa jinsi alivyo rigid na mbinu zake Huyo muhuni ameshapitwa na wakati labda kama atabadilika kiuchezajiKuwa muungwana huyo muhuni anayo makombe zaidi ya 24 ni kocha wa team nzito nzito mpe heshima yake analo jina kubwa kuliko unaowaona wewe ni makocha,heshimu football
Wameshakwambia timu ilicheza hovyo na kufungwa kwa sababu Matic hakuwepoWale Wanazi wa huyu mzaramo "Mou" siwaoni wakija kupiga zumari la kocha wao.
Nina hamu sana niwasikie wanasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mou akiwa hampendi mchezaji kuna kipindi anamsakizia mechi mchezaji huku akiwa na lengo mchezaji Huyo azingue ili aje kwenye media afanye justificationNa spurs tunao jumatatu..huwezi kuwa unagombana na wachezaji tu na huongei nao vizuri na utegemee utawapanga tu kwa makusudi ili uone watafanya nini(rejea jana martial alivyokuwa)
Huyu jamaa ni bora atimuliwe saivi kwani hata big four tunaweza tusiguse msimu huu..
MOURINHO OUT..nasema Mourinho Out!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hao Wajinga, Vichwa vikubwa akili size ya PiltonWameshakwambia timu ilicheza hovyo na kufungwa kwa sababu Matic hakuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
You have a flexible brain! Ila kuna siku nilitamani nikutukane nipigwe hata ban tu manake kuna mechi timu ilicheza hovyo sana na matokeo yakawa hovyo halafu wakati wengine tunalalamikia mfumo mbaya Wa uchezaji ukawa mmoja Wa watu Wa kumtetea kocha kwamba anajenga timu ha ha ha.mimi nilikuwa mtu namba moja kabisa kumtetea Mourinho kokote kule nnapoona watu wanamcriticize nilitetea sana hata aina ya mpira wake usiovutia....timu ipo nyuma ya mwalimu, uongozi, hata mashabiki pia but not to that extent imetosha sasa.
lakini leo ndiyo kwanza mechi ya pili kati ya 38 tushapoteza matumaini na kukata tamaa....timu ambazo inabidi uchukue points ili kukupa ubingwa ndio timu ambazo tunagawa points ili wao wasishuke daraja what a shame???...his days are numbered???? absolutely YES
ninachoona kwasasa ED anampa muda Mourinho kama atabadili mwenendo wako. (style of playing, kusema hovyo uongozi, kushutumu wachezaji wanapofanya vibaya etc)
MWISHO: Mourinho OUT enough is enough tumechoka kusemwa hovyo timu haijui inataka nini, wachezaji hawamtaki kocha uongozi pia.
Darmian nitakupigia simu kukuomba msamaha..MOURINHO SIO KOCHA ZAMA ZIMEBADILIKA
Tatizo kubwa la man u siyo upungufu Wa wachezaji Bali ni mfumo Wa kiuchezajiUnakuta mtu kafuga mbwa mkali na maandishi ya mlangoni na picha ya huyo mbwa kuwa kuna mbwa mkali hapa.
Mtaani hakuna wa kuuliza kila mtu anajua mziki wake.
Sasa bahati mbaya mbwa anakufa lakini jamaa kasahau kutoa bango la MBWA MKALI YUKO HAPA hivyo watu wamebaki kukimbia bango tu kumbe mbwa kafa zamani.
Wezi wenye uchu wamegundua kuwa mbwa kafa hili ni bango tu wanaamua kuingia na kukomaa sasa wameiba vitu vyote na kumpiga baba wa nyumba makofi matatu na kutembea.
Man hii hata top 4 isahau labda wafanye mabadiliko makubwa dirisha dogo ambapo pia kumpata mchezaji unayehitaji huwa ugumu upo na gharama huongezeka.
Man mtapata taabu sana kwanza sijaona beki katili wa kazi pale na pia timu haichezi kitimu kila mchezaji yupo kinyake.
Huwezi kuwa na Lukaku Sanchez pogba martial Mata ktk timu then unapata ushindi kwa jasho au kupigwa kabisa na timu ambayo mchezaji mmoja tu kama Pogba pesa yake ya mauzo inasajili timu nzima hadi kocha na chenji inabaki ya kahawa.
Tuache utani man iliachwa na babu ikiwa imekufa na pia babu kashindwa kumuachia mtu sahihi timu.
Kumbuka babu akiichukua man aliahidi kumaliza utawala wa liver uingereza na kweli akafanikiwa ndiyo maana akaitwa SIR. ALEX FERGUSON.Lakini ilimchukua miaka kama mitatu leo mnataka utawala uendelee wakati mmeoza.
Kuijenga man inahitaji maamzi magumu tena itachukua hata misimu miwili msiwaze kombe lolote otherwise mtakuwa mnatimua makocha kila msimu mpaka hapo mtakaofanikiwa kujua kwann majini yenu yanafyata mkia bila maombi tena kwa wachungaji njaa.
Timu hii haiwezi kumfunga kigogo yoyote uingereza kwa sasa maana hata arsenal mlokuwa mnampiga nane sasa hivi anawatwanga 3 sare kibao kwishaaaaaaa habari yenu kalale nacho kidaliiiiii poooooooooo.
Uwezo wa legendary wenu yule kuifanikisha timu ni mkubwa sana kuliko huyo baba maringo ambaye jina lake tu kwetu ni matusi.
Mfukuzeni huyo nyie msitake nilitaje jina lake matusi uwiiiih.
Sent using Jamii Forums mobile app