Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fullback ndio shida yenu, kocha kaomba usajili akakataliwa, haya ndio matokeo
Kocha hana shida
Style haina shida
Kipa hana shida
Viungo poa
Washambuliaji nao poa
Body ya usajili wamsikilize kocha
Mo akisikilizwa anajua kuunda timu ya ubingwa na ndio maana akiwa Che alipewa rungu zote
 
WaleWale,

Asante kwa kutumia vyema haki yako ya kutoa maoni.

GGMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fullback ndio shida yenu, kocha kaomba usajili akakataliwa, haya ndio matokeo
Kocha hana shida
Style haina shida
Kipa hana shida
Viungo poa
Washambuliaji nao poa
Body ya usajili wamsikilize kocha
Mo akisikilizwa anajua kuunda timu ya ubingwa na ndio maana akiwa Che alipewa rungu zote
Mechi dhidi ya Brighton centre backs waliocheza ni wale wale waliosajiliwa na Mourinho ambao ni Bailly na Lindelof. Na hao mabeki sio kwamba ni wabaya, ndo maana alikimbilia kuwasajili. Tatizo ni kwamba anashindwa kuwatumia.
Je tuna uhakika gani kwamba angemsajili defender mwingine timu ingekaa sawa?

Haya basi tuseme defense yetu kimeo, vipi kuhusu attacking? Hata kama hawafungi magoli, je ni chances ngapi wanatengeneza? Stats zipo wazi maana hata kupiga shot on target inakua mtihani.

Hapo unakuja kuona kwamba kocha ni chanzo cha tatizo. Kuanzia game plan, style na mahusiano na wachezaji wake.

Mimi ni kati ya watu ambao hatutupi lawama kwa board members kwa sababu hii timu siyo ya kulilia kusajili wachezaji wengi kila msimu halafu wachezaji akiletewa wanaonekana hawafai kwa sababu hawezi kuwatumia.

Tatizo ni KOCHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fullback ndio shida yenu, kocha kaomba usajili akakataliwa, haya ndio matokeo
Kocha hana shida
Style haina shida
Kipa hana shida
Viungo poa
Washambuliaji nao poa
Body ya usajili wamsikilize kocha
Mo akisikilizwa anajua kuunda timu ya ubingwa na ndio maana akiwa Che alipewa rungu zote

Mwaka wa tatu huu yeye anaunda timu ambayo hadi sasa hajajua wacheze vipi halafu unasema apewe rungu gani nyingine.
Yeye kila msimu anataka kuingiza zaidi ya wachezaji 3-5 kwenye kikosi cha kwanza,afundishe soka na si vinginevyo.
 
Naona wachambuzi wameshaanza kusema Mou hafiki xmass lazima atimuliwe.

Tupate kocha kama yule babu wa Bayern
 
Mechi dhidi ya Brighton full backs waliocheza ni wale wale waliosajiliwa na Mourinho ambao ni Bailly na Lindelof. Na hao mabeki sio kwamba ni wabaya, ndo maana alikimbilia kuwasajili. Tatizo ni kwamba anashindwa kuwatumia.
Je tuna uhakika gani kwamba angemsajili defender mwingine timu ingekaa sawa?

Haya basi tuseme defense yetu kimeo, vipi kuhusu attacking? Hata kama hawafungi magoli, je ni chances ngapi wanatengeneza? Stats zipo wazi maana hata kupiga shot on target inakua mtihani.

Hapo unakuja kuona kwamba kocha ni chanzo cha tatizo. Kuanzia game plan, style na mahusiano na wachezaji wake.

Mimi ni kati ya watu ambao hatutupi lawama kwa board members kwa sababu hii timu siyo ya kulilia kusajili wachezaji wengi kila msimu halafu wachezaji akiletewa wanaonekana hawafai kwa sababu hawezi kuwatumia.

Tatizo ni KOCHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly..juzi amecheza bailly na lindelof ambao wote wamenunuliwa na Mourinho..sasa bodi gani itatoa tu pesa kuongeza wachezaji na huku wachezaji anaowasajili hawa perform wakiwa chini yake??..liverpool ukiacha Van dirk wanamabeki wa kawaida ila klopp ameweza kuwatumia na kuwafundisha na wanacheza vizuri..sasa mourinho kwa nini ashindwe kuwatumia bailly,smalling,rojo,lindelof,jones,shaw,valencia,dalot??..Simple tu zama zake zimeisha na ni muda wa kutuachia timu yetu,kwani hata akibaki akichukua kombe moja ataondoka na ataacha timu ikiwa haina structure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gary Neville’s analysis on #mufc completely correct. Club had to back a manager they gave a new contract to in January. United needed a defender and attacker regardless of who the manager is.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_8244.JPG

Kibonge kama kawaida yake anawavuruga mpaka muombe poooo,ndio maana kibabu Fergi hakupenda kufanya kazi na uyu mnyonya damu.
 
Exactly..juzi amecheza bailly na lindelof ambao wote wamenunuliwa na Mourinho..sasa bodi gani itatoa tu pesa kuongeza wachezaji na huku wachezaji anaowasajili hawa perform wakiwa chini yake??..liverpool ukiacha Van dirk wanamabeki wa kawaida ila klopp ameweza kuwatumia na kuwafundisha na wanacheza vizuri..sasa mourinho kwa nini ashindwe kuwatumia bailly,smalling,rojo,lindelof,jones,shaw,valencia,dalot??..Simple tu zama zake zimeisha na ni muda wa kutuachia timu yetu,kwani hata akibaki akichukua kombe moja ataondoka na ataacha timu ikiwa haina structure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wachezaji Aliowasajili Mourinho tokea Ajiunge na Man United:

√ Paul Pogba (£94.5m)
√ Eric Bailly (£34m)
√ Henrikh Mkhitaryan (£37.8m)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)
√ Romelu Lukaku (£76.2m)
√ Nemanja Matic (£40m)
√ Victor Lindelof (£31.5m)
√ Alexis Sanchez (Swap)
√ Fred (£53m)
√ Diogo Dalot (£19m)
√ Lee Grant (£1.5m)

Jumla = £387.5m

Hapo Ndiyo mvutano unapoanzia baina Ya Wale Wanaodai Mourinho hapewi Pesa na Bodi na Wale Wanaosema Pesa Kapewa lakini Kanunua Wachezaji Ambao Kashindwa Kuwatumia.

Hivi Ni Kweli Mtu aliyepewa £387.5m na Kununua Wachezaji anaoishia Kuwaweka Benchi anapata wapi ujasiri Wa Kusema Hajapewa Pesa?
 
Unazidi kunipa hasira. Halafu linakuja liJitu kutoka nanyumbu au ileje linasema Mou hapewi hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morinho anaharibu timu
Alituuzia Salah, De Bruyne, Lukaku, Matic, Luiz
 
Mkuu Wahuni Hawajaedit Hiyo Kufanya Fake News? 😀😀😀
Mimi Raiola Huwa Namfananisha na Raisi Wetu Jiwe kwa Kila Kitu 😀😀

ni yeye mwenyewe unadhani ana akili yule kibonge,nenda tu twitani kule ukaone povu la mashabiki wa Utd.
 
Paul Pogba's agent Mino Raiola has hit back at Paul Scholes over his comments following Manchester United's defeat by Brighton.
1534850218507.jpg
The United legend ripped into the Frenchman and claimed there is a 'lack of leaders' at the club following their abject display at the Amex Stadium on Sunday.

Scholes, who represented United for almost 20 years, was critical of United's display on the south coast, but reserved much of the blame for Pogba
1534850213780.jpg
The Frenchman was named captain for the second game running in the absence of Antonio Valencia, but failed to impress despite scoring a late consolation from the penalty spot.

'There's a lack of leaders in the team,' Scholes told Optus Sport. 'We thought Paul Pogba might be the ideal candidate to be that leader but he wasn't there today. He had another really poor game. He's so inconsistent.

'Pogba's playing the ball out of play, he's overhitting passes, he's hitting passes short, he's getting caught in possession.'

Raiola, however, took umbrage with the comments and posted an impassioned riposte on Twitter on Tuesday morning, claiming he would have 'sleepless nights' if United sold their club-record signing.
1534850207673.jpg
Some people need to talk for fear of being forgotten,' Raiola wrote. 'Paul Scholes wouldn’t recognize a leader if he was in front of Sir Winston Churchill. @paulpogba.

'Paul Scholes should become sports director and advise Woodward to sell Pogba. Would be sleepless nights to find Pogba a new club @paulpogba.'

Another United icon and fellow Class of 92 graduate Gary Neville did not waste any time in weighing in on Raiola's comments.

'Let’s hope @paulpogba leads his agent and shuts him up!,' Neville responded on Twitter minutes later.

The bitter exchange comes after a summer of turmoil for the World Cup winner. The player is understood to want to leave for Barcelona after Raiola agreed personal terms with the Spanish club worth £89.5million over five years.

United, however, are determined to keep their record signing, whose relationship with boss Jose Mourinho has come under huge strain in the last 12 months.
 
Wachezaji Aliowasajili Mourinho tokea Ajiunge na Man United:

√ Paul Pogba (£94.5m)
√ Eric Bailly (£34m)
√ Henrikh Mkhitaryan (£37.8m)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)
√ Romelu Lukaku (£76.2m)
√ Nemanja Matic (£40m)
√ Victor Lindelof (£31.5m)
√ Alexis Sanchez (Swap)
√ Fred (£53m)
√ Diogo Dalot (£19m)
√ Lee Grant (£1.5m)

Jumla = £387.5m

Hapo Ndiyo mvutano unapoanzia baina Ya Wale Wanaodai Mourinho hapewi Pesa na Bodi na Wale Wanaosema Pesa Kapewa lakini Kanunua Wachezaji Ambao Kashindwa Kuwatumia.

Hivi Ni Kweli Mtu aliyepewa £387.5m na Kununua Wachezaji anaoishia Kuwaweka Benchi anapata wapi ujasiri Wa Kusema Hajapewa Pesa?
wala siongezi neno

Mkuu ni kweli Mou amesajili wachezaji hao ulio wataja. Unapo sema anasajili wachezaji halafu anaishia kuwaweka benchi naona hauko sahihi. Katika wachezaji wote alio wasajili hapo ni Linderlof ndio alisubiri benchi na Lee grant maana inajulikana amekuja kama kipa namba tatu. Msimu wa kwanza alimsajili Baily,Mikh,Pogba na IBRA. IBRA alikuja kwa short term plan. Mikh ligi ndio imemshinda (sio kitu cha ajabu) . Msimu wa pili kaongeza Linderlof,Matic, Lukaku January akaja Sanchez kwa swap. Ila tuangalie timu aliyo ikuta ilikuwa ina hitaji additions au Reformation? Kwa upande wangu naona sehemu kubwa ya wachezaji walio kuwepo hawastahili kucheza man utd. Kwa hiyo ilibidi timu isukwe upya.

Nikizungumzia kwa upande wa bodi: kwa nini mtazamo wangu ni kwamba bodi haijampa sapoti?

Wakati Mou anapewa timu kuna vitu walikubaliana. La kwanza ilikuwa ni kuirudisha timu UEFA. Hilo amelifanya. Tangu Fergie astaafu kwa Mara ya kwanza timu imeweza kushiriki michuano ya uefa Mara mbili mfululizo.
La pili ilikuwa ni kuhakikisha timu kuanzia msimu wa pili inakuwa mshindani kwenye Ligi na hilo naweza kusema hajafanikiwa ila kwa sababu man cty alikuwa na msimu mzuri zaidi.

Point yangu ni nini?
Kama bodi wangekuwa wanataka kocha wa kutengeneza timu na mpira wa pasi basi hawakuwa na haja ya kumfukuza LVG. Kwa Van Gaal tulikuwa tuna posses hadi 80% lakini on target mbili. Kwa kumfukuza LVG ina maana bodi iliona timu inahitaji makombe na sio kujenga timu ya watoto au mpira wa pasi. Kama unataka makombe basi mtu sahihi ni Mou na ndio maana akapewa timu. Sasa ili Mou afanye hiyo kazi inabidi na yeye atimiziwe mahitaji yake.

Sasa tuseme kwamba Mou alikosea kusajili hao wachezaji na amegindua kuwa alikosea na bodi inagoma kutoa hela sababu alikosea kusajili hii itakuwa hasara kwa Man utd au Mourinho? Kama bodi inaona Mou hafai kwa sababu anachezea hela kwa nini wasimtoe mapema ili timu apewe MTU ambaye wana imani naye(kumbuka Mou kasini mkataba mpya January tu hapo)?

Pia tuangalie targets alizo kuwa anazitaka Mou ni kweli nafasi zao zina mapungufu au ndio alitaka kujaza watu? (LB,RW,CB)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka wa tatu huu yeye anaunda timu ambayo hadi sasa hajajua wacheze vipi halafu unasema apewe rungu gani nyingine.
Yeye kila msimu anataka kuingiza zaidi ya wachezaji 3-5 kwenye kikosi cha kwanza,afundishe soka na si vinginevyo.
Timu tajiri mnaanza kubana matumizi kama Wenga, Mtakuwa tu kama Arsenal hivi karibuni. Ligi ya Uingereza ni kununua wachezaji bora kwenda mbele, usipofanya hivyo mtabaki kutimua makocha mpaka mchoke. MO hana shida atawasubiria tu mvunje mkataba anasubiriwa na timu nyingi
 
Mechi dhidi ya Brighton full backs waliocheza ni wale wale waliosajiliwa na Mourinho ambao ni Bailly na Lindelof. Na hao mabeki sio kwamba ni wabaya, ndo maana alikimbilia kuwasajili. Tatizo ni kwamba anashindwa kuwatumia.
Je tuna uhakika gani kwamba angemsajili defender mwingine timu ingekaa sawa?

Haya basi tuseme defense yetu kimeo, vipi kuhusu attacking? Hata kama hawafungi magoli, je ni chances ngapi wanatengeneza? Stats zipo wazi maana hata kupiga shot on target inakua mtihani.

Hapo unakuja kuona kwamba kocha ni chanzo cha tatizo. Kuanzia game plan, style na mahusiano na wachezaji wake.

Mimi ni kati ya watu ambao hatutupi lawama kwa board members kwa sababu hii timu siyo ya kulilia kusajili wachezaji wengi kila msimu halafu wachezaji akiletewa wanaonekana hawafai kwa sababu hawezi kuwatumia.

Tatizo ni KOCHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu tatizo la MU ni la zamani tangu atoke Ferguson, Moyes, Van Gal na sasa Mo hawapewi wanachokitaka kama makocha, Just fukuza, lakini msipowasikiliza makocha you are and you will be the next Arsenal
 
Back
Top Bottom