Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa akiuzwa hamuoni mtapata tabu sana. Maana hamna kiungo inayomkata namba Pogba kwa sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunalazimishwa kuwa hivyo ila hamna kitu pale. Kwa uchezaji Wa pogba Wa sasa ni heri timu iwe na mctominay msimu mzima katika namba ya pogba na atakuwa na mchango Mkubwa kuliko Huyo jamaa. Labda kama atabadilika,ila kwa sasa miongoni mwa wachezaji wanaofanya timu iwe slow na kufanya vibaya ni pogba

Mkuu umeongea naked truth,pogba uchezaji wake umekuwa wa kubahatisha sana.
Hana consistence walau ya mechi mbili mfululizo halafu tumempa thamani asiyostahili
 
Manchester United fans have funded a plane with a banner to fly over Old Trafford an hour before Monday night’s with Tottenham. The banner will read ‘ED OUT – LUHG’, targeting the Executive vice chairman, while the initial are short for ‘Love United Hate Glazers’

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom