OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
HahahaHuyu Fred pale brazil alienda kutembea tu,nadhani kwao ni peru kiasili.
dah pipoz mna kejeliSent using Jamii Forums mobile app
HahahaHuyu Fred pale brazil alienda kutembea tu,nadhani kwao ni peru kiasili.
dah pipoz mna kejeliApo matic tu shukuru Conte aliona huruma.On your opinion who is the best United player signed by Mourinho ?
Pogba
Bailly
Zlatan
Lukaku
Matic
Sent using Jamii Forums mobile app
Our defence is shit except De Gea hii ni Fact akicheza Matic anafanya kazi kubwa ku-protect back four,Sikatai ila ulivyomuelezea ni utadhani yeye angekuwepo hayo yasingetokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol Majogoo mnaanzaga moto baada ya mechi 3 huwa tunasikia fukuza fulani na fulani na Mjerumani, na Mjerumani. Msimu huu mtafukuza Wabrazil waliobaki ktk banda la kuku.A lil bit Matic
Kaka hamia kwetu ule raha
Kesho na CP naangalia game huku napiga mvinyo wangu pole pole sana
Huwezi ukafungua mvnyo kuangalia Man U maana utaumwaga tu kwa hasira
Nani sasa hayaogopi bado majogoo?
Mwaka huu nina team nzuri,sina kisingizo chochoteLol Majogoo mnaanzaga moto baada ya mechi 3 huwa tunasikia fukuza fulani na fulani na Mjerumani, na Mjerumani. Msimu huu mtafukuza Wabrazil waliobaki ktk banda la kuku.
Du kila mwaka ka ndoto kako kanaota mbawa zikibaki mechi 10 ,hata mwaka huu ndivyo itakavyokuwaMwaka huu nina team nzuri,sina kisingizo chochote
Nachukua EPL
Kuwa muungwana huyo muhuni anayo makombe zaidi ya 24 ni kocha wa team nzito nzito mpe heshima yake analo jina kubwa kuliko unaowaona wewe ni makocha,heshimu footballMourinho sio kocha sahihi pale OT..afurumwishwe mapema kabla hajeta disaster..
Kocha badala ya kufundisha mpira yeye ni kugombana tu na wachezaji,bodi n.k
MOURINHO OUT..huyu jamaa ni mhuni tu..na bado Spurs anatufanya kweli mechi ijayo
Mfuteniiiiiiiii kaziiiiiii huyuuuu muhuuuniiii wa kireeeenoooo,,,,kazi kugombana tu na wachezajiiii na uongoziiii wa clabuuu...mpira unafundishwaaaa na sio kelele kelele tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo faraja pekee waliyobaki nayo maadui wa Liverpool FC.Lol Majogoo mnaanzaga moto baada ya mechi 3 huwa tunasikia fukuza fulani na fulani na Mjerumani, na Mjerumani. Msimu huu mtafukuza Wabrazil waliobaki ktk banda la kuku.
Sisi jana tulipiga 26 offtargets, 15 On targets ..vip ukuziona hizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
The end justifies the means. Acha yadayada za kukariri majina makubwa.Mwaka huu nina team nzuri,sina kisingizo chochote
Nachukua EPL
4-0 WHUThe end justifies the means. Acha yadayada za kukariri majina makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa muungwana huyo muhuni anayo makombe zaidi ya 24 ni kocha wa team nzito nzito mpe heshima yake analo jina kubwa kuliko unaowaona wewe ni makocha,heshimu football
Nadhani world cup imemuharibu saikologia lakini pia amechoka kutusave aisee acha afungwe tu mpaka mzee abadili playing style. Kipa hana likizo golini kila saa anashambuliwa tu
: The problem at United is Mourinho, no matter how good you are, if someone keeps moaning and is unhappy, that negative atmosphere spreads..I keep saying it United have an amazing squad that is capable under an attacking manager to fight for the title..Kuwa muungwana huyo muhuni anayo makombe zaidi ya 24 ni kocha wa team nzito nzito mpe heshima yake analo jina kubwa kuliko unaowaona wewe ni makocha,heshimu football