Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale Wanazi wa huyu mzaramo "Mou" siwaoni wakija kupiga zumari la kocha wao.

Nina hamu sana niwasikie wanasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Na spurs tunao jumatatu..huwezi kuwa unagombana na wachezaji tu na huongei nao vizuri na utegemee utawapanga tu kwa makusudi ili uone watafanya nini(rejea jana martial alivyokuwa)

Huyu jamaa ni bora atimuliwe saivi kwani hata big four tunaweza tusiguse msimu huu..

MOURINHO OUT..nasema Mourinho Out!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tokea Jana Hakuna Hata Mmoja Aliyejitokeza, Wote Wamejificha Kwani Wameshindwa Kupata Kisingizio.
Wanasubiri Man United ije ishinde Mchezo Mmoja Waje Wajitokeze.
Mkuu sina furaha kabisa kuiangalia man united chini ya huyu jamaa..

Japo Liverpool ni mahasimu wetu,ila nawahusudu sana,,klopp alionyesha mwanga tokea mwanzo akiwa na wachezaji aliowakuta na sasa ivi wapo on fire mbaya..Saa nne lazima nicheki gemu yao niienjoy soka

Kocha anategemea eti fellaini apigiwe mipira ya hewani ili apige kichwa,,yaani hana game plan kabisa huyu jamaa..hovyo hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu nina team nzuri,sina kisingizo chochote
Nachukua EPL

Mwaka huu na mwaka uliopita tofauti ni nini? Kumnunua kipa anayesemekana ni mzuri kuliko waliopita sio kumaliza defensive problems. Tusubiri baada ya mechi 10 tuone..
 
mimi nilikuwa mtu namba moja kabisa kumtetea Mourinho kokote kule nnapoona watu wanamcriticize nilitetea sana hata aina ya mpira wake usiovutia....timu ipo nyuma ya mwalimu, uongozi, hata mashabiki pia but not to that extent imetosha sasa.

lakini leo ndiyo kwanza mechi ya pili kati ya 38 tushapoteza matumaini na kukata tamaa....timu ambazo inabidi uchukue points ili kukupa ubingwa ndio timu ambazo tunagawa points ili wao wasishuke daraja what a shame???...his days are numbered???? absolutely YES

ninachoona kwasasa ED anampa muda Mourinho kama atabadili mwenendo wako. (style of playing, kusema hovyo uongozi, kushutumu wachezaji wanapofanya vibaya etc)

MWISHO: Mourinho OUT enough is enough tumechoka kusemwa hovyo timu haijui inataka nini, wachezaji hawamtaki kocha uongozi pia.

Darmian nitakupigia simu kukuomba msamaha..MOURINHO SIO KOCHA ZAMA ZIMEBADILIKA
 
humu kuna mashabiki wa mou na wa MU mashabiki wa mou wanahoja za kipuuz sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mashabiki wa Mou hawataki kukubali kwamba soka la walinzi tisa na mshambuliaji mmoja zilipitwa na wakati.
Soka la janja janja hakuna tena.

Kocha ligi haijaanza ni kulalamika tu,hapo si tayari ameshawajengea wachezaji hali ya kutojiamini? Sasa kocha gani huyo.
 
mimi nilikuwa mtu namba moja kabisa kumtetea Mourinho kokote kule nnapoona watu wanamcriticize nilitetea sana hata aina ya mpira wake usiovutia....timu ipo nyuma ya mwalimu, uongozi, hata mashabiki pia but not to that extent imetosha sasa.

lakini leo ndiyo kwanza mechi ya pili kati ya 38 tushapoteza matumaini na kukata tamaa....timu ambazo inabidi uchukue points ili kukupa ubingwa ndio timu ambazo tunagawa points ili wao wasishuke daraja what a shame???...his days are numbered???? absolutely YES

ninachoona kwasasa ED anampa muda Mourinho kama atabadili mwenendo wako. (style of playing, kusema hovyo uongozi, kushutumu wachezaji wanapofanya vibaya etc)

MWISHO: Mourinho OUT enough is enough tumechoka kusemwa hovyo timu haijui inataka nini, wachezaji hawamtaki kocha uongozi pia.

Darmian nitakupigia simu kukuomba msamaha..MOURINHO SIO KOCHA ZAMA ZIMEBADILIKA
Tupo pamoja mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, Mourinho inabidi atuachie team yetu. Team imekosa dira kabisa. Bora team achukue Zidane anaweza akatufikisha pazuri+ kucheza mpira unaeleweka.
 
Gary Neville’s analysis on #mufc completely correct. Club had to back a manager they gave a new contract to in January. United needed a defender and attacker regardless of who the manager is.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sina furaha kabisa kuiangalia man united chini ya huyu jamaa..

Japo Liverpool ni mahasimu wetu,ila nawahusudu sana,,klopp alionyesha mwanga tokea mwanzo akiwa na wachezaji aliowakuta na sasa ivi wapo on fire mbaya..Saa nne lazima nicheki gemu yao niienjoy soka

Kocha anategemea eti fellaini apigiwe mipira ya hewani ili apige kichwa,,yaani hana game plan kabisa huyu jamaa..hovyo hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ndio kocha wa klabu yako mpka sasa na hakuna dalili zozote zile na kuondoka kwake.

Hivyo wewe endelea kuumia tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta mtu kafuga mbwa mkali na maandishi ya mlangoni na picha ya huyo mbwa kuwa kuna mbwa mkali hapa.

Mtaani hakuna wa kuuliza kila mtu anajua mziki wake.
Sasa bahati mbaya mbwa anakufa lakini jamaa kasahau kutoa bango la MBWA MKALI YUKO HAPA hivyo watu wamebaki kukimbia bango tu kumbe mbwa kafa zamani.

Wezi wenye uchu wamegundua kuwa mbwa kafa hili ni bango tu wanaamua kuingia na kukomaa sasa wameiba vitu vyote na kumpiga baba wa nyumba makofi matatu na kutembea.

Man hii hata top 4 isahau labda wafanye mabadiliko makubwa dirisha dogo ambapo pia kumpata mchezaji unayehitaji huwa ugumu upo na gharama huongezeka.

Man mtapata taabu sana kwanza sijaona beki katili wa kazi pale na pia timu haichezi kitimu kila mchezaji yupo kinyake.

Huwezi kuwa na Lukaku Sanchez pogba martial Mata ktk timu then unapata ushindi kwa jasho au kupigwa kabisa na timu ambayo mchezaji mmoja tu kama Pogba pesa yake ya mauzo inasajili timu nzima hadi kocha na chenji inabaki ya kahawa.

Tuache utani man iliachwa na babu ikiwa imekufa na pia babu kashindwa kumuachia mtu sahihi timu.

Kumbuka babu akiichukua man aliahidi kumaliza utawala wa liver uingereza na kweli akafanikiwa ndiyo maana akaitwa SIR. ALEX FERGUSON.Lakini ilimchukua miaka kama mitatu leo mnataka utawala uendelee wakati mmeoza.

Kuijenga man inahitaji maamzi magumu tena itachukua hata misimu miwili msiwaze kombe lolote otherwise mtakuwa mnatimua makocha kila msimu mpaka hapo mtakaofanikiwa kujua kwann majini yenu yanafyata mkia bila maombi tena kwa wachungaji njaa.
Timu hii haiwezi kumfunga kigogo yoyote uingereza kwa sasa maana hata arsenal mlokuwa mnampiga nane sasa hivi anawatwanga 3 sare kibao kwishaaaaaaa habari yenu kalale nacho kidaliiiiii poooooooooo.

Uwezo wa legendary wenu yule kuifanikisha timu ni mkubwa sana kuliko huyo baba maringo ambaye jina lake tu kwetu ni matusi.
Mfukuzeni huyo nyie msitake nilitaje jina lake matusi uwiiiih.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na spurs tunao jumatatu..huwezi kuwa unagombana na wachezaji tu na huongei nao vizuri na utegemee utawapanga tu kwa makusudi ili uone watafanya nini(rejea jana martial alivyokuwa)

Huyu jamaa ni bora atimuliwe saivi kwani hata big four tunaweza tusiguse msimu huu..

MOURINHO OUT..nasema Mourinho Out!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule Jamaa anaitwa Radika sijui yupo kwenye hali gani. Na kwa kichwa chake chenye kazi ya kunyoa viduku na kufugia nywele kama za Fellaini, utashangaa tukishinda vs Spurs yeye na genge lake watakuja kutupa ubuyu humu. Sijui wanafikiri nini vichwani mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom