Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,929
- 27,177
Ha ha ha ha mahaba mabaya sana!Timu inacheza bila defensive midfielder (Matic),Matic was our best signing last season he bring balance to the team
Pogba/Fred/Perreira all are attack minded mid.Game against Leicester Vardy angeanza angefunga zaidi ya goli moja
Lindelof is best defender in 3CBs(3-5-2) formation & average in 2CB system (4-3-2-1)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaangalia football in different perception but Matic is BIG loss in this United team
3 kwa BHA?Vurugu zilianza toka wapo wakina roy kean, rud van chapa sana vibao ronaldo walikuwepo watata wakina paul ince kuna mwamba cantona tatizo mnashabikia vitimu vidogo ndo mana mnaweweseka sisi ma giant tushazoea mavurugu umeona miamba hiyo ilivyokuwa inachachafya carrington?
Labda utuambie mpira umeanza kuujua 2012
Ubingwa?Yaani ww una tumaini la ubingwa mido zako ni Pereira na Fred na mbele kasimama legless Sanchez?Sioni tumaini la ubingwa msimu huu tena....Mou ni kisiki kinachokwamisha mafanikio ya MANCHESTER.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni tumaini la ubingwa msimu huu tena....Mou ni kisiki kinachokwamisha mafanikio ya MANCHESTER.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kamnnywesha mtu tano huku sisi tunatolewa kamasi na BHA acha achukue tu halali yake.Jirani mwenye makelele anachukua tena.
Yule Mbuzi hata wampeleke Hispania wampe Barcelona hawezi kutwa ubingwa maana hana mbinu za mpira zaidi ya kulinda.
Leo kamnnywesha mtu tano huku sisi tunatolewa kamasi na BHA acha achukue tu halali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa mkuu huku kwetu kujilinda muhimu sana na wiki ijayo pochettino atatufunza jambo hakika yajayo yanasisimuaSoka la walinzi tisa na mshambuliaji mmoja mbele lilishapitwa na wakati.
Watu wanajilinda kwa kumiliki mpira.