Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,186
- 37,499
Tunaangalia football in different perception but Matic is BIG loss in this United team
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh 🙄 yaani Matic mchezaji mmoja akikosekana ishakuwa shida.
Tunaangalia football in different perception but Matic is BIG loss in this United team
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 in jiwe'z voicetupo kwenye rait tlak ngoja tuendelew kutembea vifua mbere wakuu
ThubutuJirani mwenye makelele anachukua tena.
Mambo ya soka ndio haya . Mchezaji ni mzuri pale anapokosekana au anapofanya vizuri. Leo unamuona Matic ndo alikuwa mchezaji bora lakini kesho utasema vyingine. Anything can be right and wrongTimu inacheza bila defensive midfielder (Matic),Matic was our best signing last season he bring balance to the team
Pogba/Fred/Perreira all are attack minded mid.Game against Leicester Vardy angeanza angefunga zaidi ya goli moja
Lindelof is best defender in 3CBs(3-5-2) formation & average in 2CB system (4-3-2-1)
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliiona Klopp (Liverpool) ilivyostrugle baada ya Mane kuumia msimu 2016/2017?Duhyaani Matic mchezaji mmoja akikosekana ishakuwa shida.
Kaka njoo ule raha LiverpoolUliiona Klopp (Liverpool) ilivyostrugle baada ya Mane kuumia msimu 2016/2017?
Uliona Liverpool ilivyopoteza dira baada ya Salah kuumizwa na Ramos
DM is the most underrated position in football (Kante,Busquets,Casemiro) they balance defence & attack
Sent using Jamii Forums mobile app
On your opinion who is the best United player signed by Mourinho ?Mambo ya soka ndio haya . Mchezaji ni mzuri pale anapokosekana au anapofanya vizuri. Leo unamuona Matic ndo alikuwa mchezaji bora lakini kesho utasema vyingine. Anything can be right and wrong
Mkongwe mwenzanguMambo ya soka ndio haya . Mchezaji ni mzuri pale anapokosekana au anapofanya vizuri. Leo unamuona Matic ndo alikuwa mchezaji bora lakini kesho utasema vyingine. Anything can be right and wrong
A lil bit MaticOn your opinion who is the best United player signed by Mourinho ?
Pogba
Bailly
Zlatan
Lukaku
Matic
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutu
Ubingwa ni wa Liverpool
Liverpool HAIJAWAHI kuwa strong kama hiviNi kawaida yenu,kila msimu unapoanza ubingwa unakuwaga wenu.
Sikatai ila ulivyomuelezea ni utadhani yeye angekuwepo hayo yasingetokeaTunaangalia football in different perception but Matic is BIG loss in this United team
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliishia njiani,alinyoosha la sitaLeo kamnnywesha mtu tano huku sisi tunatolewa kamasi na BHA acha achukue tu halali yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi jana tulipiga 26 offtargets, 15 On targets ..vip ukuziona hizo?Katika Mchezo wao Wa Leo Man City wamepiga 14 Shots On Target
Man United Katika Mchezo wao Wa Leo Wamepiga Only 3 Shots On Target
Fed hajui mpiraHuyu Fred pale brazil alienda kutembea tu,nadhani kwao ni peru kiasili.