Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho sio kocha sahihi pale OT..afurumwishwe mapema kabla hajeta disaster..

Kocha badala ya kufundisha mpira yeye ni kugombana tu na wachezaji,bodi n.k

MOURINHO OUT..huyu jamaa ni mhuni tu..na bado Spurs anatufanya kweli mechi ijayo

Mfuteniiiiiiiii kaziiiiiii huyuuuu muhuuuniiii wa kireeeenoooo,,,,kazi kugombana tu na wachezajiiii na uongoziiii wa clabuuu...mpira unafundishwaaaa na sio kelele kelele tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri tathmini yako ya mchezo mkuu, Vp kuna mwanga wowote Mbele?

Naona kama Freddy Anaendeleza utamaduni wa Wabrazil kuchemka United..

Sent using Jamii Forums mobile app
Fred anacheza vizuri sawa na Pogba sema tu uchezaji wa timu unamfanya pengine umwone hivyo. Timu inacheza slow na haiwezi kumiliki kwenda mbele. Kocha inabidi abadilike, jamaa ni rigid sana sijui kwa nini. Ulimwengu mzima unamlalamikia lakini bado tu hachange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyoyaeleza Mourinho Baada Ya Mchezo: "We started the game with a lot of players who will not be in our squad on August 27 vs Spurs. This is not my squad, not even half, not even 30% of my squad. So don't look to this."

😀😀😀😀
Kama kasema hayo kweli ndo Yale Yale nnayosemaga hapa kwamba amejaaliwa kuongea vimaneno ila tushavichoka aendelee kuwaambia wanaomchekea na kumfurahia. Afanye timu icheze kisasa aache ukale Wa fikra na mbinu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred anacheza vizuri sawa na Pogba sema tu uchezaji wa timu unamfanya pengine umwone hivyo. Timu inacheza slow na haiwezi kumiliki kwenda mbele. Kocha inabidi abadilike, jamaa ni rigid sana sijui kwa nini. Ulimwengu mzima unamlalamikia lakini bado tu hachange

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kweli mkuu, Mourihno Ana dalili zote za Ugonjwa aliokua nao Wenger wa kutobadilika kulingana na nyakati..

Sasa hivi anatumia kivuli chake cha mafanikio ya nyuma kuficha udhaifu wake...Ukihoji utaambiwa alichukua UEFA 2..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana wadau, miaka ile babu Ferguson yupo kuna watu nilikuwa nawaambia siku akiondoka tutakuwa wamoja.

Ndo haya yanaonekana.
 
Fred anacheza vizuri sawa na Pogba sema tu uchezaji wa timu unamfanya pengine umwone hivyo. Timu inacheza slow na haiwezi kumiliki kwenda mbele. Kocha inabidi abadilike, jamaa ni rigid sana sijui kwa nini. Ulimwengu mzima unamlalamikia lakini bado tu hachange

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wake umeishia hapo ndugu jamaa siyo rigid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri tathmini yako ya mchezo mkuu, Vp kuna mwanga wowote Mbele?

Naona kama Freddy Anaendeleza utamaduni wa Wabrazil kuchemka United..

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inacheza bila defensive midfielder (Matic),Matic was our best signing last season he bring balance to the team
Pogba/Fred/Perreira all are attack minded mid.Game against Leicester Vardy angeanza angefunga zaidi ya goli moja

Lindelof is best defender in 3CBs(3-5-2) formation & average in 2CB system (4-3-2-1)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mourinho anashindwa ata Mwenyi Zahera wa Yanga mwenzake kaichukua Yanga ovyo lakini kaanza ibadilisha kidogo
 
Back
Top Bottom