Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katika Mchezo wao Wa Leo Man City wamepiga 14 Shots On Target

Man United Katika Mchezo wao Wa Leo Wamepiga Only 3 Shots On Target
 
gia watakazo kuja nazo mani yuu leo


1.aseno hana point hata moja
2.ligi bado
3.liverpool gari la mabua
4.sisi tuna epl 20
5.hatuna beki baiily kawa kama nyoso
6.aseno hawana uefa
7.liverpool hawana epl🤣🤣🤣
8.leo tulicheza na timu mbili
9.tulikua ugenini
10.pogba anafanya makusudi
11.mou sio kocha sasa sjui muimba muziki

Sent using Jamii Forums mobile app

Lakini Nanyinyi Mumechangia Haya Kwa Kuwaaminisha Kuwa Sanchez Ni Bonge la Mchezaji wakaingia Kichwa kichwa Kumpa £500K Kwa Wiki.
 
1534698241955.jpg

Mmekula mishale yakutosha *****

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gia watakazo kuja nazo mani yuu leo


1.aseno hana point hata moja
2.ligi bado
3.liverpool gari la mabua
4.sisi tuna epl 20
5.hatuna beki baiily kawa kama nyoso
6.aseno hawana uefa
7.liverpool hawana epl🤣🤣🤣
8.leo tulicheza na timu mbili
9.tulikua ugenini
10.pogba anafanya makusudi
11.mou sio kocha sasa sjui muimba muziki

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe gia yako ni Ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gia watakazo kuja nazo mani yuu leo


1.aseno hana point hata moja
2.ligi bado
3.liverpool gari la mabua
4.sisi tuna epl 20
5.hatuna beki baiily kawa kama nyoso
6.aseno hawana uefa
7.liverpool hawana epl🤣🤣🤣
8.leo tulicheza na timu mbili
9.tulikua ugenini
10.pogba anafanya makusudi
11.mou sio kocha sasa sjui muimba muziki

Sent using Jamii Forums mobile app

Ku like tu haitoshi kwa hii point ..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijengi Picha sijui Daud1990 na Darmian Jinsi Walivyo na Hasira na Mourinho Watakuja kivipi baada ya Huu Mchezo!
Mkuu nipo nimekaribia.

Misimamo Yangu ni ile ile Aheri king Kibadeni "Mputa" kuliko Jose Mourinho.


Sina jipya la kuongea dhidi ya Mou kwani Nina mengi nimeandika dhidi yake. Maandishi Yangu yatatimilika mpaka huyu MTU akifukuzwa, kinyume na hapo ni vipigo tu.



GGMU.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom