Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,071
Chelsea fans be like..
Morata -1 goal
Lukaku -0 goals
Watakuja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Morata -1 goal
Lukaku -0 goals
Watakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Vurugu zilianza toka wapo wakina roy kean, rud van chapa sana vibao ronaldo walikuwepo watata wakina paul ince kuna mwamba cantona tatizo mnashabikia vitimu vidogo ndo mana mnaweweseka sisi ma giant tushazoea mavurugu umeona miamba hiyo ilivyokuwa inachachafya carrington?Vurugu zimeisha anza huko kwenu
Sanchez kuna uwezekano kama dropped kwa game ya leo
Atafuata Pogba na yyt atakaye m criticize Mourihno
Nani hapa bado hayaogopi MAJOGOO ya Melwood?
Haters bana wachambuz duniani na makocha kila mmoja kasema alikuwa na mchezo mzur kombe la dunia wewe sayar ya tatu unakunja hakuna asie jua pogba alikuwa bora ktk kombe la dunia chezaj akifanya poa lazima apewe credit mana hata ukikaza huku bongo duniani wameonaPogba ameperform mechi ngapi kombe la dunia??? ukiacha fainali
twende taratibu mkuu
hili ndiyo tatizo letu waafrika kuamini kila unachosikia hata kama umekiona its ok...topic closed no more discussionHaters bana wachambuz duniani na makocha kila mmoja kasema alikuwa na mchezo mzur kombe la dunia wewe sayar ya tatu unakunja hakuna asie jua pogba alikuwa bora ktk kombe la dunia chezaj akifanya poa lazima apewe credit mana hata ukikaza huku bongo duniani wameona
Kuna mahali nimetaja wazungu mbona unawoga wa kinafsi? Kwa nini hujiamini?hili ndiyo tatizo letu waafrika kuamini kila unachosikia hata kama umekiona its ok...topic closed no more discussion
okKuna mahali nimetaja wazungu mbona unawoga wa kinafsi? Kwa nini hujiamini?
Pogba ni mzungu? Daaa kwa hii post itishe kusema unaongozwa na hisia sio uhalisia
Umeanza kuwanga sasa!!Leo Brighton wanaweza kuwatoa tendegu mashetani wekundu
E&K
Hahahaa wale watoto ukiwakuta vizuri wanakuua hivi hivi
U can seeMsimu huu man u na liverpool Salama yenu ni kutwaa ndoo ya EPL kinyume na hapo mtapata tabu sana
Hivi unajua toka fegason amestaafu man u haijawahi kutwaa EPL radika
Kabisa mkuu France walikua na timu nzuri sana hasa kwenye kiungo kupata nafasi yakuanza kikosi cha kwanza inaonesha jinsi gani ulivyo na ubunifu kuliko wengineHaters bana wachambuz duniani na makocha kila mmoja kasema alikuwa na mchezo mzur kombe la dunia wewe sayar ya tatu unakunja hakuna asie jua pogba alikuwa bora ktk kombe la dunia chezaj akifanya poa lazima apewe credit mana hata ukikaza huku bongo duniani wameona
Mkuu wengine tuwazoee tu ni kuponda tuKabisa mkuu France walikua na timu nzuri sana hasa kwenye kiungo kupata nafasi yakuanza kikosi cha kwanza inaonesha jinsi gani ulivyo na ubunifu kuliko wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku Atakuja mwalimu mwenye Ufanisi ndipo tutaamka na kuwashangalia wachezaji wote tunaowaponda sasa..lakini kwa saivi tutaumizwa sana na mbinu mbovu za MouMkuu wengine tuwazoee tu ni kuponda tu